Stop for a minute and.....
@Rydx_01797.719 Follower
13.225 Aufrufe
12 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@Rydx_017
Angalia Mwijaku na Mdogo wake wakifanya Challenge 😅 Video kwa Comments 👇
1.037 Likes

@_Crint8n
@GidionWilly @AdamKataze @AdventMnyama mdgo ake Mwijaku🤣🤣Yamefananaa kama mayai....
3 Likes

@SolarHeavy
you deserve a break, check this out
870 Likes

@nemes_charles
Nipeni number namimi nimlipie menina madeni
2 Likes

@sheedKa
nimpelekee shemeji yangu saa sasa maana haiwezekani kaka yake manzi yangu avae saa iliyovunjika kioo
1 Like

@Makoye221
Kanaonekana kanatafta kodi

@seiph_raj
Nilijua tu mwanaume anaeongea sana vile na uchawa anakuwaga na dada mapis

@amina_hafidh
🤣🤣🤣kwa mbaali nimefanana nae huyo dada

@Eliamen1
Asee kanafaa kbs kwa heka heka za apa mjinii

@DeeCello
itakua dada ake

@VonDavid8
Mwijaku Ana sura ya kirembo ivo, hizi zitakuwa filter zimewabeba, maana wengi hatumjui huyo Dada

@BoraKafa
So @MwijakuBurton kafata yako la mdogo wake sio 🤪🤪, say halaaaaaa🤸🕺🕺