正在加载视频...

视频加载失败

Swellow - Berkelana

20,771 次观看 • 12 天前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

JAKAYA KIKWETE NI KANSA KWENYE TAIFA LA TANZANIA. HUYU NDIO CATALYST WA MAUAJI YANAONDELEA TANZANIA NA VITENDO VYOTE VYA UMINYAJI HAKI. Mwaka jana kipindi cha uchaguzi, kuna speech mbili aliongea Kikwete ambazo zilituumiza mioyo Watanzania wengi na pia speech hizi zilituonyesha Watanzania ni nani anaemdanganya Samia Suluhu kuendelea na unyanyasaji wa Watanzania, utekaji na uuaji wa Watanzania. Video ya kwanza, Kikwete alisema kuwa sheria za uchaguzi Tz sio mbaya, ziko sawa tu na kwamba ni kundi dogo la watu ndio linadanganya wananchi. Imagine nchi nzima inavyolia na sheria za uchaguzi ila Kikwete anakwambia hizi ndo sheria zinafaa Tanzania. Video ya pili Kikwete anasema kuwa bunge zima la Tanzania linatakiwa kuwa CCM tupu maana hawataki kuchanganya pumba na mchele, kwamba wao na familia zao ni mchele sisi wananchi tunaolilia haki ni pumba. Downfall nzima ya demokrasia Tanzania ameileta Kikwete na mpaka sasa yeye ndio anazidi ku drive machafuko ndani ya nchi kwa kuhakikisha Watanzania hawapati haki. Yes, Samia ana deserve lawama zote ila inabidi Watanzania waelewe Samia anapewa nguvu na Kikwete. Hata Samia tufanikiwe kumuondoa ila as long Kikwete bado yuko involved the siasa za Tanzania basi Watanzania tutaendelea kuuliwa nafasi CCM. Na kinachoumiza zaidi African Union imempa Kikwete position ya kudeal na siasa tata nchi za Afric. Imagine master mind wa siasa tata Tanzanka ndio anapewa cheo za kusawazisha siasa tata Tanzania. Huyu Mzeehatakiwi kupewa nafasi in any room ya uongozi popote pale. Ana damu za Watanzania kwenye mikono yake.

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

73,708 次观看 • 2 天前

mimpi basah mulu ni si gembrot
0:23

Sensitive content

mimpi basah mulu ni si gembrot

Spade.

1,029,704 次观看 • 1 个月前