Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Swipe Right 🔜 halafu jiongeze

25,934 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von DaddyAnna❤️❤️
DaddyAnna❤️❤️vor 3 Jahren

Nimesikia uchungu sana kuona hiyo video asee!!

Profilbild von Kighera.e.kighera.
Kighera.e.kighera.vor 3 Jahren

@pantaraogrande Daah Mexico weusi kama sisi, halafu twiga wako porini.

Profilbild von Rock
Rockvor 3 Jahren

@HecheJohn Jeshi la wananchi na CDF mnachukua hatua gani ktk hili au na nyie ni Jeshi la mgambo hamuelewi lolote? Yaani Huyu Rais wa Kik kawaxhika mapumbu anawezaj kugawa wanyama wetu Hovyo watu tulilalamika kuhusu Wamasai kupigwa risasi lkn mkachukulia poa

Profilbild von Anthony Kasigwa
Anthony Kasigwavor 3 Jahren

Eeeeeh! napelekwa wapi tena huo mtu unao vutwa?

Profilbild von jamaa wa kimara
jamaa wa kimaravor 3 Jahren

Wacha wapeleke kwani shida iko wap nchi inapata mapato

Profilbild von Mtafiti07
Mtafiti07vor 3 Jahren

Hii mbaya sana hii

Profilbild von Kisusu
Kisusuvor 3 Jahren

Mungu ana makusudi makubwa sana juu ya viumbe alivyoviumba kutoka na mazingira,ukimuhamisha Mnyama ukampeleka sehemu nyingine atapata shida sana kutoka na mazingira ya ikolojia,ni rahisi hata kufa

Profilbild von Daniel Mduma
Daniel Mdumavor 3 Jahren

Sema upinzani wa hivi hautusaidii. Ku edit picha kuunga matukio afu hamna maelezo unasema tujiongeze, Tujiongeze nini sasa kwa picha za ku edit? Toeni facts kuna shida nyingi uku tuone ubovu wa Serikali yetu sio huu ujinga. Mambo ya propaganda za hivi hazisaidii TAIFA. FUTA HII.

Profilbild von DEEP STATE
DEEP STATEvor 3 Jahren

Hivi kumbe twiga anaongozwa kwa kamba kama mbuzi

Profilbild von Friends
Friendsvor 3 Jahren

@MussaBinIssa1 @MariaSTsehai take a look🙌🏾

Ähnliche Videos

Would u swipe right on me :3
0:31

Sensitive content

Would u swipe right on me :3

Bella

58,481 Aufrufe • vor 1 Monat

Fendy Chow shirtless from 'Swipe Right' series. #selebwatch
0:20

Sensitive content

Fendy Chow shirtless from 'Swipe Right' series. #selebwatch

MRVVIP

83,402 Aufrufe • vor 1 Jahr

Al natural 🔜🔜 ig:iranelpaola
0:20

Sensitive content

Al natural 🔜🔜 ig:iranelpaola

pao

98,607 Aufrufe • vor 2 Jahren