Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

26,685 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

29 Kommentare

Profilbild von Joblube4
Joblube4vor 1 Jahr

Ni mwendawazimu ndio anaweza kumwamini mtu mwongo kama huyu dalali @zittokabwe

Profilbild von Sajo Zablon
Sajo Zablonvor 1 Jahr

Hapa atapita kama anaaga maiti🤣

Profilbild von cosmas is
cosmas isvor 1 Jahr

Dalali katika ubora wake.

Profilbild von Michael Mwangasa
Michael Mwangasavor 1 Jahr

😁😁

Profilbild von Dr che Guevara
Dr che Guevaravor 1 Jahr

Sio taperi tu hilo jambazi sugu la kisiasa

Profilbild von mvenezuela(kaka ake na kobbie)
mvenezuela(kaka ake na kobbie)vor 1 Jahr

Zote clip ni za mwaka huu dadek 😀

Profilbild von John Huss
John Hussvor 1 Jahr

Huyu jamaa nihatar sana Kwa siasa za nchi yetu

Profilbild von officialmzilankende
officialmzilankendevor 1 Jahr

Mshenzi tu huyu hakuna lugha nyingine anastahili

Profilbild von Halid Hassan💥
Halid Hassan💥vor 1 Jahr

Bangi ya kigama kalimno yani Zitto mbn Tapeli hivo kwenye siasa #NoReformsNoElection

Profilbild von BwanaPepsi
BwanaPepsivor 1 Jahr

😅🤣😂😂😅🤣,Tapenga pro max

Profilbild von Gasper Millanzi
Gasper Millanzivor 1 Jahr

@mrembo_og zito TAPELINHO

Profilbild von ustaše
ustaševor 1 Jahr

Always huwa nawasanua humu kuwa @zittokabwe ni TAPELI

Profilbild von dmkodabest
dmkodabestvor 1 Jahr

Yani hawa jamaa ni kama wale myumbu wa masai mara kule wanaona mto una mamba kibao lakini wanaenda kuuvuka na mamba walivyowatulivu wanawasubiria waingie mtoni 🤣🤣🤣

Profilbild von Geofrey Enock
Geofrey Enockvor 1 Jahr

Zitto Inategemea Siku Kamkaje Ila Kabwe Mhuni Sana😂

Profilbild von Pauli.
Pauli.vor 1 Jahr

He sold his soul to the devil way back, nothing surprises me with this traitor

Profilbild von Mnoya Juma
Mnoya Jumavor 1 Jahr

Hayana aibu haya

Profilbild von Eng.Benjamin
Eng.Benjaminvor 1 Jahr

Tapeli

Profilbild von Ramesses III
Ramesses IIIvor 1 Jahr

@zittokabwe unawafahamu hawa jamaa wawili?

Profilbild von Eddie mikopo
Eddie mikopovor 1 Jahr

Aisee hii ni unafki wa kupindukia

Profilbild von Adam Mtui
Adam Mtuivor 1 Jahr

Hii silaha unayotumia ni nuclear kabisa

Profilbild von KiseJoe
KiseJoevor 1 Jahr

@zittokabwe Dalali wa siasa uchwara.

Profilbild von SHAKA ZULU.
SHAKA ZULU.vor 1 Jahr

Katika yote yanayoendelea mtandaoni Bado Zitto atabaki kuwa ni mwanasiasa anayejua vizuri siasa za upinzani ,Anastrategy na maarifa ya kutosha. Siwezi kumchukulia kawaida kisa post za martin ambaye hajawahi kugombea hata mtaa. Tusiingie kwenye mtego wa CCM kupoteza watu makini.

Profilbild von RussiaUkrane2022
RussiaUkrane2022vor 1 Jahr

Si tapeli,ni mwanasiasa.Mwanasiasa akisema sasa hivi ni saa mbili usiku,toka nje uhakikishe ni kweli? Mwanasheria hamaanishi anachosema na hasemi anachomaanisha.Muda wowote anabadilika kutegemea na maslahi yake akiona tofauti na MWANAHARAKATI.

Profilbild von Obed Baraka Mwangubi
Obed Baraka Mwangubivor 1 Jahr

Tapeli no Moja ni nani?

Profilbild von Mjukuu~Wa~Minja🦁👁️
Mjukuu~Wa~Minja🦁👁️vor 1 Jahr

Tapeli pro mazlx

Profilbild von SHUNGU MBOMA
SHUNGU MBOMAvor 1 Jahr

Career politician

Profilbild von technician Master
technician Mastervor 1 Jahr

Duh technology noma

Profilbild von Andy
Andyvor 1 Jahr

Anataka Ubunge yeye tuu 😀

Profilbild von GOD BLESS
GOD BLESSvor 1 Jahr

Kitu cha kujua ukweli juu ya Tapeli huyo ni sehemu ya mfumo dharim nchi hii, Sisi tunalipa kodi wao wanamlipa zito adumaze demokrasia nchini, Mungu wetu ni Mungu kweli watayalipa soon

Ähnliche Videos

R E P L I C A N T Bienvenidos a Edén 😔
1:04

Sensitive content

R E P L I C A N T Bienvenidos a Edén 😔

CUIDADEMI

89,690 Aufrufe • vor 1 Jahr