Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
#T2025SSH. KaziIendelee…
20,879 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Kwasasa huna namna nyingine kubaki kwenye roman zaidi ya kujipendekeza kwa bi mkubwa, Lusinde kapiga kwenye mshono kabisa na mshono umechanika tena

Think $BTC has topped? Think again. Past cycles show: 2012-13: Topped 367 days post-halving. 2016-17: 526 days. 2020-21: 548 days. 2024? We’re only 237 days in. There’s still a long way to go. 👉 Subscribe now and join 130K+ investors prepping for the next big move.

Mkuu unatuondoa kwenye reli hiv hiv,sema Mshukuru sana Milardy Ayo bila huyu mwamba cjui ingekuwaje Maana GEN 2000 walikuwa tayar wako on way kuingia mtama ghafla Magoma akanya juu ya meza ya Engineer shughuli ikaishia hapo Nangwanda tukarudi kuzima moto tunaamka tayari umeanua

Nisubiri masaa 48 yapite, hachelewi kusema post hii alikuwa anatania 😂

Kazi gani nyie wahuni

Mama anafanya Kazi nzuri sana tatizo lipo kwenu watendaji wake.

Chutama mkuu

Hapa Hutanii?

Nchi inaongozwa na viongozi wajinga,Mbunge msukuma ni darasa la 7 lakini ana akili na busara kuliko ww,Akili ndogo inaendesha akili kubwa😂😂😂

Weka akiba ya video mkuu hahahah
Ähnliche Videos
Manufaa makubwa SGR. #KaziIendelee #TunazungumzaMaendeleo
Gerson Msigwa
11,446 Aufrufe • vor 9 Monaten

