Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

88,416 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

9 Kommentare

Profilbild von Gathogo B.Mwangi
Gathogo B.Mwangivor 2 Jahren

Tupee namba ya hao wanaongeaongea hapo. Send contacts please

Profilbild von Morani
Moranivor 2 Jahren

You are a good example of how a human can change. They say poverty is the Enemy anyway.

Profilbild von Sir.Tim
Sir.Timvor 2 Jahren

Ujinga umekita nta katika bongo.Jiheshimu nguruwe wa Nyali.

Profilbild von 🔥BAZUU🔥
🔥BAZUU🔥vor 2 Jahren

What our Local Televisions never shown us

Profilbild von Mbiu John
Mbiu Johnvor 2 Jahren

Wewe ushaa kuwa kipofu tunakuelewa

Profilbild von Abdüll.G
Abdüll.Gvor 2 Jahren

Umewalipa wakuje waonge uwongo??

Profilbild von Gathoronjo
Gathoronjovor 2 Jahren

As if you guys elected yourselves in the offices or @WilliamsRutohaving been to the streets politicians know that you guys have been sponsoring goons to disrupt goons take advantage and loot, if there is looting and destruction you guys need to hold yourselves to account

Profilbild von Olanzapine
Olanzapinevor 2 Jahren

Hao watu wako kwa hyo clip none of them owns a business in town prove me wrong...wajinga waliisha jicho povu

Profilbild von Rawayo Sam
Rawayo Samvor 2 Jahren

Ulihadaa watu enzi zile za kitambo. Ulivua ngozi ya kondoo sasa uchi wako unaonekana.

Ähnliche Videos

Lucy Mrimi, dada wa Daniel Chonchorio Nyamhanga, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye hajulikani alipo mpaka muda huu ameiomba serikali kuingilia kati juhudi za kumtafuta ndugu yao, akieleza kuwa kuna ushahidi wa mashuhuda waliomuona akichukuliwa na watu wasiojulikana. “Kwa jinsi ninavyomfahamu, Daniel hawezi akapotea mwenyewe, na kwa sababu ya taarifa za shuhuda aliyemuona, tuna uhakika kwamba kuna watu waliomhusisha na kutoweka kwake. Amesema aliona watu wanne wakimzingira, wakizungumza naye na baadaye wakaingia naye kwenye gari. Sasa hao watu wanne ndio hatujui ni akina nani, ndipo tunapoomba serikali itusaidie kumtafuta huyu ndugu yetu. Kwa hiyo siyo kwamba alipotea, bali alichukuliwa na watu,” amesema Lucy alipokuwa akizungumza na wanahabari Jumanne. Lucy ametoa wito kwa vyombo vya serikali kuendelea kupaza sauti ili ndugu yao aweze kupatikana, huku akiwaomba Watanzania wote kushirikiana kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kumtafuta. “Tunamuomba Rais Samia, taarifa hii ikufikie ili mdogo wetu aweze kupatikana. Yeye ni baba wa familia, ana watoto wadogo, tunamtegemea katika maisha haya,” amesisitiza. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza iliyotolewa Jumatatu tarehe March 24.2025 uchunguzi juu ya kutoweka kwa Nyamhanga, ambaye anafahamika kuwa na makazi mkoa wa Mara, na Dar es Salaam bado unaendelea na Jeshi la Polisi limewahakikishia wananchi kuwa litatoa taarifa zaidi kadri uchunguzi unavyoendelea na limewasihi kushirikiana na vyombo vya usalama kwa kutoa taarifa yoyote itakayosaidia kupatikana kwake.

Jambo TV

18,073 Aufrufe • vor 1 Jahr