Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Taifa Limepitia mengi Sana Acha Tu Mvua Inyeshe😂😂
Комментарии: 11

@mtanganyika1 год назад
Nchi hii ina laana! Nafikili mimoshi inayokimbizwa nchi nzima na ccm ndio umefanya nchi iwe na mahoka kawa hawa na wengine wengi kila mtu na vituko vyake ni aibu kwakweli

Singeli za Bongo1 год назад
Inasikitisha sana

Rock Paper Sizzle1 год назад
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

SONOFGOD1 год назад
usikute ni comed halafu sisi ndo tunachukulia siriaz

Samwel Mbua1 год назад
Yan wanao sali hapo wakafanyiwe vipimo milembe , et watu wanashangilia kabisa😂😂😂😂

Matemba boy1 год назад
Tunapitia mangi sana. Sasa hawa makabachori wa Zumaridi mbona kama vile wametoka Nyakato shambani kabisa wakapakwa makeup?

Singeli za Bongo1 год назад
Hapo ni makeup na mawigi tu😂

PANGAMAWE JR1 год назад
Mna uhakika hawa wana taarifa Lissu yupo Gerezani?

Singeli za Bongo1 год назад
Huwenda hawajui lolote😃

Ødegaard1 год назад
Akili zimecheza wote

Singeli za Bongo1 год назад
Mawingu haya😂
