ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Tajiri anaingia! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

60,116 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 3 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

10 ๆก่ฏ„่ฎบ

T ็š„ๅคดๅƒ
T3 ๅนดๅ‰

"Wanangu niliwaambia wasome ila wakachagua bangi Leo wangekua kama huyu๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AshaDii ็š„ๅคดๅƒ
AshaDii3 ๅนดๅ‰

@TbagMnyama4_ ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

T ็š„ๅคดๅƒ
T3 ๅนดๅ‰

"Huyu mjinga Jana tu aliniambia hana pesa nisubiri mwisho wa mwezi anilipe๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก"

MR BEN ็š„ๅคดๅƒ
MR BEN3 ๅนดๅ‰

This Man! ๐Ÿ˜‚

Zakiaaaaa ็š„ๅคดๅƒ
Zakiaaaaa3 ๅนดๅ‰

Yule mzee haamini nini maana hadi mdomo kashindwa kufunga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AshaDii ็š„ๅคดๅƒ
AshaDii3 ๅนดๅ‰

Yaani kaasama through out ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

NYANGUMI ็š„ๅคดๅƒ
NYANGUMI3 ๅนดๅ‰

Huyu ni baba wa muoaji nn? Mbona anashangaa sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Khaled Emms Ponera ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ็š„ๅคดๅƒ
Khaled Emms Ponera ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ3 ๅนดๅ‰

Huyo mzee mwenye dark blue anayeshangaa usikute anamdai uncle halafu anamchezesha sound za kutosha......Leo anamuona anahonga harusini ๐Ÿคฃ

Dr.Kinubi ็š„ๅคดๅƒ
Dr.Kinubi3 ๅนดๅ‰

Bibi atakua anajiuliza mbona hii hela hawaniletei Kijijini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

victor ็š„ๅคดๅƒ
victor3 ๅนดๅ‰

Wkt nipo field nikapewa kadi ya kuudhuria harusi moja hivi...Tungi likakolea nakijituka natunza tu hela kwa maharusi...Asubuhi kujisachi kumbe nilitunza hela ya ada na chuo tunafungua muda si mrefu...๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘