Loading video...
Video Failed to Load
Tamba la kutazaa wekee hii 🔥🔥
17,368 views • 2 years ago •via X (Twitter)
5 Comments

Pharm.Cethy🍀2 years ago
Hili linaitwaje

Daka_Movies&Series2 years ago
mbona jina lime andikwa apo mkuu Alpha ghost reckoning

George2 years ago
Inaitwaje hii

Balu__Mk2 years ago
Sio fans movie kweli maana ni kipande hicho tu ndo kinasambaa kinoma

LetsAgreeToDisagree2 years ago
Hii movie waliikosea sana ilikuwa tambala la kali sana ila wakalikatisha na halina mwendelezo bora wangetengeza min series tu
