Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

TANGA LEO…👽

29,950 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 33

Фото профиля BELINDA
BELINDA1 год назад

Una nyimbo gani xaxa ya kupiga show unataka upate kanafasi serikalini 😂 chawa

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

take the journey

Фото профиля Man Like Me
Man Like Me1 год назад

😑

Фото профиля Machafuko
Machafuko1 год назад

Kaka ulipiga show sana vibe lilikuwa la kutosha yaani usipime🙌🙌🙌🙌✅

Фото профиля MUASISI 🚦
MUASISI 🚦1 год назад

Sasa unajiitaje Masta ??

Фото профиля Mr Safaris& Adventure
Mr Safaris& Adventure1 год назад

Unafanya watu wa Mbeya tuonekane hatuna akili

Фото профиля DARK NIGGA
DARK NIGGA1 год назад

Njaa zitakuuwa we msenge chawa wa CCM

Фото профиля Prince 🇰🇪
Prince 🇰🇪1 год назад

Dayaspora aliyechoka ni mwendo wa kupushi tuu #

Фото профиля Zark Guzman Loera
Zark Guzman Loera1 год назад

umekuja kuwa chawa wa kipopo,,sema saiv hauna mziki we kula hizo kodi tu

Фото профиля Theobadrtz$ 🍁
Theobadrtz$ 🍁1 год назад

Una lolote njaa kali tu qmmmk hizo siasa umeanza lini mwanao FA kakuweka kitako kakwambia huku kuna hela za bure na utazipata kweli mana huyo mama enu anavopenda kusifiwa.

Фото профиля ~kiss©️anga🇸🇷~
~kiss©️anga🇸🇷~1 год назад

Hakika njaa haina mkubwa au mdogo..piga hela kaka

Фото профиля MZEE WA UTAJUA HUJUI
MZEE WA UTAJUA HUJUI1 год назад

Hakuna people inanjaaa afu inajiita master kama wew labda master pombe

Фото профиля Conoralbert
Conoralbert1 год назад

Umekuwa msenge sana wallah😂😂🚮

Фото профиля MZEE WA UTAJUA HUJUI
MZEE WA UTAJUA HUJUI1 год назад

Unaponza wanyakyusa kwa njaa zako binafsii

Фото профиля Mr power plug 💪🏻
Mr power plug 💪🏻1 год назад

Njaa mbaya sana !!

Фото профиля BELINDA
BELINDA1 год назад

Chawa

Фото профиля Tinno, the Great
Tinno, the Great1 год назад

Ngoja nikuheshimu kwa sababu mziki wako unanikumbusha ujana

Фото профиля Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr1 год назад

Mie ngoja nisome comments sina nisije nikaonekana hater 😀

Фото профиля mux venal
mux venal1 год назад

Diaspora kuwa chawa ni aibu kubwa sana , Bora ungejikalia kmya kama yule msanii wa yamoto band mwenye sauti nzito

Фото профиля NesiMkunga
NesiMkunga1 год назад

apa nimekuja kusoma reply za wanangu wakiruka na wewe

Фото профиля KIOSO
KIOSO1 год назад

Kaka wanakulipa Bei gani? Natanguliza Shukrani

Фото профиля TheChronic
TheChronic1 год назад

Unataka uteuzi ??

Фото профиля Code
Code1 год назад

Nakubali Sema sikuwepo muheza ilikuwa wakat mzur wakukuona Ila nxt time inshallah !

Фото профиля Nuhu M Sali
Nuhu M Sali1 год назад

Trump anawakaanga mpaka kichwani

Фото профиля Franco
Franco1 год назад

Hahaha sina mengi ya kusema oneakanabe dudukwee

Фото профиля Bepari
Bepari1 год назад

Mwijaku mwenye nywele

Фото профиля Jack Lukio
Jack Lukio1 год назад

AJIRA KWA VIJANA

Фото профиля 𝐌𝐊𝐎𝐌𝐁𝐎𝐙𝐈
𝐌𝐊𝐎𝐌𝐁𝐎𝐙𝐈1 год назад

Ifunda Technical school finest 👏🏿🙌🏿

Фото профиля MR. BLACK
MR. BLACK1 год назад

Other girls bhana, ule masta uliokua nao leo umerudi kujikombeleza teuzi? Lofa kabisa

Фото профиля Life is a Gift🐄
Life is a Gift🐄1 год назад

Nasikia harufu ya Ankra 💪💪🔥

Фото профиля kaka yake na fumbo khan
kaka yake na fumbo khan1 год назад

Mwekezaji 😂😂😂😂

Фото профиля JPEGMAFIA
JPEGMAFIA1 год назад

Lofa

Фото профиля YML Wallstreet
YML Wallstreet1 год назад

Kaa kabatini

Похожие видео