Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

TANGANYIKA MUST BE FREE

19,604 просмотров • 26 дней назад •via X (Twitter)

Комментарии: 0

Нет доступных комментариев

Здесь появятся комментарии из оригинального поста

Похожие видео

Kaka Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Tanganyika unayozungumza ipo wapi? Rais wa Zanzibar yupo. Rais wa Zanzibar anaongoza serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Hujisikii fahari kuipigania Tanganyika? Tanganyika ambayo itakuwa na serikali yake kamili, serikali ambayo itasimamia masuala yote ya Tanganyika katika muungano. Au una hofu kwa kuwa ACT haijaenea vizuri Tanganyika? Tanganyika imetoa mamlaka yake yote kwa muungano, maana yake Raisi wa JMT ndio anasimamia. Sasa tuna Rais anatako Zanzibar, yeye anasimamia rasilimali zote za Tanganyika. Kama Rais wa Tanzania anaweza kutoka upande wowote wa muungano, kwanini Rais wa Zanzibar hawezi kutoka upande wowote wa Muungano? Je, Muungano huu ni wa upande mmoja tu? Katiba ya Muungano ipo, katiba ya Zanzibar ipo, katiba ya Tanganyika ipo wapi? Mambo ya Tanganyika yameelezwa na kuwekewa utaratibu katika katiba gani? Tanganyika yetu ipo wapi? Muungano huu ni wa kikatiba au kimkataba? Kama ni muungano wa kikatiba, katiba ya Tanganyika imefichwa wapi? Kama ni mkataba, mkataba wa Muungano umefichwa wapi? Zipo wizara katika serikali ya Muungano ambazo hazihusiki na masuala ya muungano lakini zinaongozwa na wazanzibari. Lakini hakuna Mtanganyika anaweza kuwa Waziri Zanzibar. Hii inakupendeza? Kwanini kila Mzanzibari ni Mtanzania lakini siyo kila Mtanzania ni Mzanzibari? Kwanini mnaona kila anayehoji muundo wa Muungano anaeneza chuki? NB; OGOPA sana habari yako kuchapishwa na TBC.

Martin Maranja Masese

105,608 просмотров • 2 лет назад