Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Tanzania tumefika huku 😂😂

80,310 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Hancy Machemba profil fotoğrafı
Hancy Machemba2 yıl önce

Naona alimiss kuoga maji ya mvua tu. Mbona angeweza kukaa sehemu nzuri na wakaongea au kuingia kwenye jengo moja. Piga kiki yako moja matata unakula cheo chap😂😂😂

Think Different profil fotoğrafı
Think Different2 yıl önce

Huyu jamaa amefanya utafiti amegundua bila kufanya ujinga ujinga upati uteuzi, anajaribu ku apply , wamuone wampe ka cheo

Mjukuu~Wa~Minja🦁👁️ profil fotoğrafı
Mjukuu~Wa~Minja🦁👁️2 yıl önce

Huu ndo udhibitisho kua tuna magonjwa ya Akili,sasa nini hii!?

Maguzu Maguzu profil fotoğrafı
Maguzu Maguzu2 yıl önce

Akitoka hapo anaingia v8 la serikali anapandisha joto AC faster anatupa hasara ya mafuta ,jamaa analowana makusudi achukuliwe video

Charles Massawe profil fotoğrafı
Charles Massawe2 yıl önce

Aisee hatuna viongozi wala mifumo ya kueleweka, sasa bora liende tu, hivi na watawala wanajiona wako sawa tu, this is serious. 😭😭😭🙆‍♂️

Michaelchembu profil fotoğrafı
Michaelchembu2 yıl önce

Cheo cha mwenyekiti wa wilaya kinamaana gana yaan yeye ni mwenyekiti kachaguliwa na nan? Msaada tafadhal

JERE100H profil fotoğrafı
JERE100H2 yıl önce

Analowa makusudi ionekane anajali

M.D (🅨) profil fotoğrafı
M.D (🅨)2 yıl önce

Usanii mtupu!!

Sarwatt profil fotoğrafı
Sarwatt2 yıl önce

Uchaguzi umekaribua watu lazima. Waajionyeahe wanafanya kz

Katuba ❤⚽️ profil fotoğrafı
Katuba ❤⚽️2 yıl önce

Sasa kulikuwa na haja gani ya kunyeshewa mvua ilhali sehemu ya kujikinga ilikuwepo kubwa tu... Haya si maigizo?!

Benzer Videolar