Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

The Devil is really working. Parents, have time with your kids. Teachers alone can't. Tukicondemn hii mambo kwa FB na tiktok wanatufungia account kama bibi wa Riggy G. Shetani ashindwe.

221,827 views • 2 years ago •via X (Twitter)

10 Comments

Victor Mochoge Zhero's profile picture
Victor Mochoge Zhero2 years ago

The only way to stop this menace, ABOLISH boarding schools If you can't atleast all Schools to be MIXED. OTHERWISE, there's no stopping this shit 🤦‍♂💀

Maverick Aoko's profile picture
Maverick Aoko2 years ago

Hawa should be stuffed in a box kama ule wa Eldoret and left by the road side... Bladi puklu If they do it in private ni sawa... Hii ya flaunting such unnatural debauchery publicly is unnerving

FANCO's profile picture
FANCO2 years ago

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

Dr. Jessy S Kipkirui, PhD's profile picture
Dr. Jessy S Kipkirui, PhD2 years ago

Whoever conducted this interview also plays a major role in pushing the gay agenda ...there are handouts given out there to publicize this BS!!. I know the money is good but it makes you lose your integrity.

ahmedjaama's profile picture
ahmedjaama2 years ago

Wewe pia unajifanya saint 😂

Bendito's profile picture
Bendito2 years ago

Tofauti ya hizi mbwa mbili na Mende ni mbio tu

Ramesh Saxena's profile picture
Ramesh Saxena2 years ago

Wtf is this

Loibor Reuben's profile picture
Loibor Reuben2 years ago

Shindwe

Kavuli M. Bernard's profile picture
Kavuli M. Bernard2 years ago

THESE boys should be caned in public! What are they even saying? Na how DOES get get the audacity to interview such kind of people? Nkt!

Bernard Koech's profile picture
Bernard Koech2 years ago

Acha vijana waenjoy freedom. After 18 years kila mtu anaezafanya chochote bora inamfurahisha na haimdhuru mtu mwingine. Saa hii wazazi wako busy wakitafuta pesa na school fees. Hakuna time ya kukaa na watoi. But most of such kids are raised in isolation.

Related Videos

Kuna aina tatu za elimu. 1. Elimu ya kuzaliwa/ Common sense Hii ni elimu ya kujua jema na baya kwa jamii ikuzungukayo. Uongee nini, na nani, wakati gani. Binafsi nilikuwa nawazidi ndugu zangu wengi kwenye hili. Wao walikuwa wanapeleka shida zao kwa mshua wakati wa usiku alipokuwa amerudi nyumbani akiwa amechoka na stress za kazini na saa nyingine akiwa amepitia kunywa "sisal juice" kidogo kupoza stress. Majibu waliyokuwa wanatapata hayakuwa mazuri na shida zao nyingi hazikutatuliwa. Mimi nilikuwa naamka alfajiri, naoga, navaa zangu uniform. Shule zetu enzi zile tulikuwa tunawahi namba kuepuka adhabu. Kabla ya kuondoka, ilikuwa lazima nigonge chumbani kwa mshua. Mle ndani ningeamkia kwa adabu na kuulizia afya za wazazi wangu kwa siku ile. Mzee alikuwa akinifurahia sana kwa hilo, akanifanya bonge la mshikaji wake japo mimi ni "last but one". Pale pale ningeweza kupress shida yangu na ungesikia Mzee anasema "nenda pale kwenye mfuko wa suruali kachukue pesa" My common sense used to beat my siblings. Elimu hii ni ya muhimu sana mtu kuwa nayo kabla ya elimu nyingine. Makonda kaikosa. 2. Intellectual (Elimu dunia) Hii ni elimu ya kujua kwa nini mambo fulani yanatoke humu duniani ili kutatua changamoto za kutuwezesha kuishi vizuri duniani. Elimu hii inapatikana darasani. Ukiulizwa nini kinaifanya ndege kupaa angani? Unajibu tena kwa lugha ya kikoloni "Because its engine is pulling it up through the air, with enough pressure to lift it up on its own wings" Kujua hili kunaweza kusikufanye ukajua mambo ya utabibu. Unaweza kuishia kujua vizuri mambo ya Aviation na ukawa mweupe kabisa kwenye Sayansi ya jamii. Kwa hiyo elimu ya darasani imegawanyika kulingana na ubobezi. I literally want to mean, kwenda darasani hakukufanyi mtu kujua kila kitu lakini kwa kile kidogo utakachopata, kunaweza kukusaidia kutatua changamoto za fani uliyosome. Kuna utata mkubwa juu ya elimu ya darasani ya Makonda na hata matumizi ya jina hilo. Mpaka leo swala hili ni debatable bila conclusion. 3. Experience/ Uzoefu Hii ni elimu ya field and exposure Umekutana na changamoto zipi, kwa muda gani, na ulizitatua vipi. Nikupe mfano kwenye hili, Inawezekana wanandoa ni wasomi wa viwango vya uprofesa na udaktari. Ndoa yao inaweza kuingia mgogoro usiomithirika hadi wakaamua kuwaita wazee waje kuwapatanisha. Cha ajabu wazee wale wanaweza wasiwe hata elimu yoyote ya darasani lakini uzoefu wao ukawa na advantages mbele ya wanandoa hawa wasomi. Makonda ana Experience ya Uchawa. Chawa tangu akiwa ni kondakta wa daradara za Buswelu za marehemu Mabina Chawa akiwa MUCOBS kwa vyeti vya watu. Chawa ndani ya siasa. Katika uchawa huu amejikuta sasa anafanya ibada za sanamu. Hataki kukubali ukweli kuwa Magufuri(RIP) is no more. Hakubali kuwa Magufuli alikuwepo, kafanya yake, kaacha "legacy" yake na kwenda zake. Hataki kukubali kuwa sasa wameingia watu wengine, anapaswa kuwaacha wafanye yao na kwenda zao. Hivi kulikuwa na umuhimu gani kuyaongea haya kwenye tukio la uzinduzi wa ndege? Au ndio tuamini ile nadharia kuwa Makonda alirudishwa kwenye mfumo ili kulinda kura ya pro- Magufulis? Kwani yeye ni nani kwenye siasa za Magufuri? Kuna wengi walikuwa bega kwa bega kwenye siasa za Magufuri ambao wanaweza kutumika vyema kama lengo ni hilo. Huyu mnyang'anyi kama baraba, anayeingia kwenye biashara za watu usiku na mitutu ya bunduki ndio anasadifu aina ya utawala wa Magufuli? (May be) Huyu aliyewablackmail wafanyabiashara kuwa wanauza unga kisha kutumia magari yao ndio icon ya utawala wa Magufuli? (May be) Huyu mkwepa kodi aliyeingiza makontena yasiyolipiwa ushuru hadi kumfanya waziri wa fedha (makamu sasa) aheme juu juu kwa hofu ndiye icon ya Magufuli? This person doesn't deserve to be in any public office He deserves to be in a five star facility called "Karanga prison" Haya sasa lazima tu "Atayajaza" tena huko Arusha.

Fortunatus Buyobe

86,865 views • 2 years ago

🚨🚨‼️IMPORTANT UPDATE‼️ A credible source has informed me that the Govt is setting up a fake medical report in Dodoma aa they seek to involve John Heche in an incident that he was not involved. Sigrada - a leader within Chama cha Demokrasia na Maendeleo had an altercation with a guard outside a meeting in Njombe that Heche was chairing! Now she claims to have been hurt badly and Chama Cha Mapinduzi have taken over! Watch how they forced doctors in Iringa hospital to allow them to transfer Sigrada to Dodoma despite doctors refusing! They are looking at ways to arrest Heche for something he didn’t even know had happened! Dirty tricks are textbook tactics of CCM Taarifa kutoka mdau anayeaminika Dodoma kanitonya kuwa muda huu wanaandaa ripoti kusema Sigrada amevilia damu kwenye ubongo na wanataka wamkamate LEO Heche eti alikuwa mwenyekiti wa kikao wakati Sigrada kaparuana na mlinzi NJE kwa mujibu wa ushuhuda wake! Heche hata hakuwa na taarifa hadi baadaye! Daktari atakayekubali kusaini ripoti hii feki na kuingia kwenye huu ujinga AFUTIWE leseni na Medical Association of Tanzania (MAT) 🚮 Madaktari wa Iringa waligoma kufanya huu mchezo ndiyo maana naambiwa wamemhamisha Dodoma! Msichafue tasnia ya udaktari! Kama vipi kubalini madaktari wanaoaminiwa na Chadema wafanye vipimo pia na mthibitishe hii ilisababishwa na kipigo hicho na si ninyi mmembonda kichwani na fimbo kama Ndugai alivyofanya 🙄 maana ndo zenu! We Emmanuel Nchimbi na Makala mmeishiwa kabisa! Msicheze na wananchi! Tumewachoka ondokeni kwa amani! Na huyu Sigrada mwambieni watamwua asicheze na hawa jamaa Eniwei #TutaelewanaTu

Maria Sarungi Tsehai

49,370 views • 1 year ago

CRIMINALS CAN NOT INVESTIGATE THEMSELVES Mama Wa Kambo, hiyo Tume umeiunda wewe mwenyewe, ila haina uhalali wa kufanya hivyo. KWANZA SIO RAIS HALALI (Haujachaguliwa na democratic process) Pili, Wewe na Vyombo vya Dola ndio haswa wanapaswa kuchunguzwa, maana ndio the PRIME SUSPECTS wa kilichotokea nchini!! Watu hawajaridhishwa na utendaji wako, na vyombo vyako vya dola vimekuwa vikiteka, vikifira, vikipiga na kuua Raia na pia kuwanyanyasa Wanasiasa wa vyama vya Upinzani. Waliofikwa na Madhila hayo wana ndugu zao, na ndio walioghafirikwa hadi kuandamana. MAANDAMANO SIO UVUNJIFU WA AMANI, Bali again ni nyie nyie mlipoanza kutumia EXCESSIVE FORCE na hatimae hadi kuua Wananchi in intimidation HAPO NDIO MMEVUNJA AMANI!! Mkaanza kufata watu hadi majumbani, na kupiga watu risasi za mgongo (which is against RULES OF ENGAGEMENT let alone usage of Live Ammunitions) HUWEZI KUUNDA TUME ILI UJICHUNGUZE… Hii inaitwa CONFLICT OF INTEREST!! Nakumbuka kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, wajumbe walitaka Utoke wao wajadili issue zinazo kuhusu ukagoma (huwezi ku-chair kikao ambacho wewe ni Mgombea). Nakumbuka 2015 Baba yangu Mdogo (Stephen Wasira) alikuwa Kamati Kuu ya CCM, na also alikuwa Mgombea Urais. Ilibidi yeye na Few Other Candidates Watoke kwenye kikao. IT IS LOGICAL. Besides, tumeona kwenye Tume Yako ya Mchongo umemuweka Aliyekuwa Waziri Wa Ulinzi during the Massacre, na ambae ni Kada wa CCM na alikuwa in your campaign. Na kila Mjumbe ni former SUBORDINATE wa Serikali za CCM. Tanzania nzima tumeikataa Tume yako, na hatutaki Tume Za Kimataifa tunazozitaka zijihusishe na Tume yako ya Mchongo kwa Chochote. That is TAMPERING, and it is LEADING… Unataka kuficha UHALIFU WAKO, Unapindisha maneno na Ukweli, na actively mnajaribu kuzika INCRIMINATING EVIDENCE against you and your fellow culprits. MMEANZA KUKAMATA MADAKTARI na BADO MNATEKA VIJANA. Your Evil Scheme will not succeed, na zaidi ni mnazidi tu kujipalia moto na ku-add charges to your already long criminal rap sheet. YOU ARE THE CRIMINAL & THE PRIME SUSPECT, YOU CANT INVESTIGATE YOURSELF, SO TUME YAKO NI BATILI… HATUITAKI NA HATUITAMBUI KAMA AMBAVYO HATUKUTAMBUI WEWE NA SERIKALI YAKO BATILI The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

41,780 views • 8 months ago

MSIGWA KAISHIWA PAWA PRESS HAIELEWEKI; umeita LOCAL MEDIA kuongelea INTERNATIONAL MEDIA, alafu unalilia WATALII, kisha unaanza PROPAGANDA. Hii ni Dalili KUELEKEA KIBLA. Unataka Media zifanye kazi kwa “Uwazi, Haki na Uwajibikaji”? Michael Jackson aliimba, STARTING WITH MAN ON THE MIRROR, akimaanisha inabidi uanze wewe. Serikali mnafanya mambo kwa “Siri, Udhalimu, Kutowajibika” alafu leo mnahubiri HAKI na MMEUA WALIO ILILIA HAKI? Unatoa wapi UHALALI kutamka UWAZI na UWAJIBIKAJI, wakati hadi leo mmeshindwa tamka MAUAJI, fariji WAFIWA? ZERO EMPATHY! Mnaongelea UHARIBIFU WA MALI. Tume inachuguza NGO badala ya VIFO na MATUMIZI YA RISASI ZA MOTO! Unajisifia umesoma JOURNALISM. Mimi sijasomea, ila mjomba RUDI DARASANI! Journalism Ethics zinaruhusu in Investigative Journalism TO HIDE YOUR SOURCES. Unashangaa CNN kuficha Identity ya NESI? How Ironic for you to say that, na Serikali yako inajaribu kuleta “SHAHIDI WA SIRI” kwenye Kesi ya UHAINI ya TUNDU LISSU. Na hapo Lissu hajaua mtu ka nyie mlioua WATOTO WA KITANZANIA. Kwanini NESI asiogope ku-reveal Identity na nyie mmeua MADAKTARI wakitoka SHIFT YA USIKU? Na sasa hivi Nurses na Morticians wanakamatwa kuhusu video za Mochwari… Waliofanya Uchunguzi waupeleke Tume? Tume imeundwa na SUSPECT na kuipa HADIDU ZA REJEA POTOFU, ndio tuipelekee Uchunguzi, ILI IWEJE? Tume mmeipa Maelekezo ya Kuchunguza “Vijana wanataka Haki gani” na “NGO zilizowalipa” wakati Raia wanataka Majibu na Uwajibikaji wa Nani aliwaua Ndugu zao, na kwanini Miili yao haionekani! Unasema Watanzania wanataka AMANI? Mtanzania gani huyo kakwambia hivyo? Wote wameniambia wanataka: Haki, Maiti Zao, Uwajibikaji, Katiba Mpya, Uchaguzi Mpya, Lissu, Wasiojulikana, Ajira, Tume Huru, Niffer, Mdude, Soka, Polepole, Mwandambo, Haki za Ali Kibao, SamiaMustGo, Free Press, Makanisa ya Gwajima, nk. Girishoni, You’re out of touch! Mitandaoni ni WAJANJA WACHACHE? Hivi hauoni aibu kuzidiwa USHAWISHI na WAJANJA 20 kufanya Serikali kuua Raia Wasio na Hatia zaidi ya 1000, including Wajawazito, Watoto, Mawakili na Madaktari? Eti “tunawaletea MFUKO WA WANAHABARI, Mpate Mikopo kama WASANII.” Yaani huna AIBU unahonga media (BUYING ALLEGIANCE) kwenye Press? Na huo Mfuko wa Wasanii haujaenda kwa Wasanii wenye uhitaji bali CHAWA WENU. You have proved your INCOMPETENCE and being an ACCOMPLICE of the CRIMINAL CABAL of the ILLEGITIMATE GOVERNMENT, way you keep blatantly lying to Us. ICC Bound… SHAME ON YOU GIRISHONI “Akili za kuambiwa changanya na Zako”.. Sisi hatusikilizi mnachotuambia… ZETU ZATUTOSHA The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

66,363 views • 8 months ago

BONGOSTAR SEARCH: HII HAPANA Hatuwezi kukuza VIPAJI VIPYA kama tutakuwa tunavi HUMILIATE, MISTREAT & UNDERMINE kwa this type of unfair judging & condescending approach. Huyu Binti anaimba, rap, na ni bilingual mwenye personality na exposure ya ulaya. Hizo ni Taarifa ambazo amezitoa ndani ya sekunde 20 za mwanzo; zilitosha kwa yeye kupewa BENEFIT OF DOUBT, na hata namna ya ku-engage nae ingeweza kuwa friendlier na yenye way more entertaining content than kum-shutdown hivi! IKUMBUKWE; Washiriki ni AMATEURS na WAKO NERVOUS. Unaweza kuwa INDIFFERENT & UNBIASED as a JUDGE ila sio kuwa CRUEL; you can KILL THEIR CONFIDENCE na hata kama anajua akafanya BAD PERFORMANCE. Ndio maana WAZOEFU humfanya Mshiriki a-relax, kumsifia alivyovaa, kumuuliza nini anaimba, kum-wish goodluck, ili a calm down kabla ya kuperform. MFANO mimi kama Judge, ningemtania kuhusu BRITISH ACCENT yake, au ningemuuliza LONDON alikuwa anafanya nini, etc. Way BETTER CONTENT for THE AUDIENCE. Alafu disqualification yake ni kuwa SAUTI IKO CHINI, Really? Hicho si ni kielelezo tosha kuwa SHE IS NERVOUS? 🤷🏾‍♂️ Mimi nimemsikia kuimba anajua (hajakosea kitu), na angeruhusiwa 5-7 more seconds ambapo wimbo ulikuwa unaenda ku-TRANSITION, ndio tungejua uwezo wake zaidi. Na hivyo hivyo kwenye ku-rap, ame-rhyme, ameflow na amekaa kwenye pocket; Mashairi yake kweli ni Explicit ila sio kiiivyo. Hata kina SIMON COWELL, wakiona RAW POTENTIAL, ila iko nervous, huwa wanasimamisha encourage them, then wanawapa second chance, na sio kuwa dismiss. Na mtu wa hivyo DEVELOPMENT & GROWTH ARC yake inaenda as anaendelea kuwepo kwenye Shindano na pia inawapa Audience nafasi ya ku-fall in love with Washiriki. Mimi, WAKAZI, as a former judge wa UNITALENT SHOW, huyo dada ANAJUA KUIMBA; anaimba kwa Mix ya “HEAD & CHEST VOICE” na LOWER REGISTER MEZZO ALTO ndio her VOICE TYPE. ANAWEZA KU-RAP pia na Content yake inashabihiana na Female Rappers wa kisasa (Meg The Stallion, Sexy Red, Latto) so hiyo VERSATILITY yake ni golden. Ana PERSONALITY and Particular SENSE OF FASHION with GOOD COMMUNICATION SKILLS (English & Swahili). Na hizo zote ndio QUALITIES ZA KUTENGENEZA A STAR. You can do better… The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

140,952 views • 3 months ago

About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder. Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there. So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were. The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony. The woman did all the talking. The man didn’t say a word. As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door. Everything is being forwarded to the FBI. If anything happens to me, this is where the investigation should begin. I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one. KISWAHILI Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi. Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango. Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama. Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu. Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja. Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu. Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI. Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa. Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

171,257 views • 1 month ago