Loading video...
Video Failed to Load
The pressure is getting worserrrrrrrrrrrrrr✋🏾
25,422 views • 1 year ago •via X (Twitter)
35 Comments

Nimekuwa nikisema siku zote, siku Dar ikiamka Tanzania tunaikomboa, sisi Watu wa mikoani tunasubilia Dar wakiwashe harafu sisi tujibu kwa wivu mkubwa sana

Mm ningekua ni mkazi wa kimara, mbezi au dar kwa ujumla.. sasa ivi ingekua ni mwendo wa kutembea na mabomu ya moto tu yale ya kutengeneza.. hizi gari ningekua imesha zichoma moto nyingi sana na maandamano yangeanza kabla ya muda mamae.

Yaani unapigwa bomu kwa sababu umecheleweshewa usafiri ambao mabasi yamenunuliwa na Kodi yetu na ukipanda unalipia sio kua wanakubeba bure ! Hawa watu wana akili ? Wako busy na campaign au sio ?

Bado kidogo watatuambia kina Soka wako wapi!

@Eng_Corrosive It is the right rising temperature really for the preparations of the 29 OCTOBER Maandamano 🔥🔥🔥

Nimefurahi sana had nahisi kububujikwa na machozi tupo hatua nzuri

Tutaona mengi hawamu hii, watu wamevurugwa

Hiyo ni mdogo mdogo inaingia.

Maandamano yaaanze tarehe 28 usiku

Uchaguzi kesho yake hauwez fanyika

Mungu atupe NGUVU OCTOBER 29/2025 TUIKOMBOE NCHI YETU

Moto kidogo wametuletea mabasi. Sasa moto wa 29oct wataomba msamaha na watapitisha #katibampya na mabadiliko ya sheria za uchaguzi yatafanyika uchaguzi mkuu tutaufanya oct2026. Sisi wananchi tupo tayari uchaguzi usogezwe mbele

Safiiii counting down the days (29 October tunatoka

Zamu ya wananchi kusikilizwa

CCM wanaamini katika use of force kuliko mazungumzo. Quite bad

We are fixing thia nation!

This is criminal from police.

Panapofuka moshi Pana Moto🔥🔥🔥

Acha maji yazidi kulowana Sheila

Watu wanaosema maandamano akuna wanajidanganya

Serikali ibadili mtazamo Kinachotakiwa ni uongozi bora,wenye kujali na kulinda wanchi Haipendezi watu wanalalamika juu ya uhaba wa usafiri na hakuna maelezo yakina wala hatua zinazochukuliwa.

Eti wa tz niwaoga! Kitaeleweka

Tusipoangalia taifa lifikishwa kusipostahili

Hii ni alert kuelekea 291025

Kimara wamekosha Sana, Siku zifike izo 🔥🔥

kumbe mnaweza kabisa the only think hatuogopi

Not worst again. 😂

Hawa polisi wa Tanzania wamachojuaga wao ni kupiga risasi tu..hawanaga akili hata kidogo ..wamafikiria kwa kutumia matako..watanzania wamechoka ka risasi haziwatishi tena..@tanpol mnafikiria kwa kutumia makalio..nyie ni bure kabisa takataka.

Badala muwaletee mabasi mnawaletea Bunduki

Freedom is coming

Kumekucha Tanzania.

Sio sifa

@dullah_saw

Maandamano yameshaanza!

#KATAA WAHUNI#
Related Videos
They removed me 😂😂😂😂 Pressure is getting worser
Professor Hamza Ballon Dor
28,707 views • 7 months ago


