正在加载视频...

视频加载失败

Then Ibraah akafunguka...

19,523 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Ok Hata mimi nilidhani Issue ya Ibraah kutoka Konde Gang, ni kama kikiki ila Leo Ibraah kafunguka Kuhusu Mkataba, Michango, Mama, yake Kufanyiwa Upasuaji.. Na anayoyasema Mwijaku... Msikilize.... Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Kwanza alichosema Mwijaku..

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Ibraah akamjibu.

Hip Hop DNA 👊 的头像
Hip Hop DNA 👊1 年前

TUWE WAKWELI, SI MAIGIZO TU! Wasanii wetu wa Bongo Flava… tunawapenda, tunawaheshimu — lakini kuna kitu kimoja cha msingi: REALNESS hakuna #SemaNayo

LifeOfKabuka🐋👤 的头像
LifeOfKabuka🐋👤1 年前

Hela iliyokapatikana haha Mtwara kabisa 😁

Son  的头像
Son 1 年前

Tutamsahau soon ataachia Ep moja ya mwisho nani wakumuamini ibra na kumpa kaz ya matangazo fanbaz yake inabebana na konde ajipange chitoholi inamwita

JAPHET MAKAMBA 的头像
JAPHET MAKAMBA1 年前

Sasa kwann hakuomba msaada kwanza wa kumtibia mam ake alafu hajui mam ake anaumwa nn wakat yeye ndio anamtibia mbn kam kaongo

a C O M P L E X soul 的头像
a C O M P L E X soul1 年前

Smelling BS here.

DJ NAX 255 的头像
DJ NAX 2551 年前

Alipe den

相关视频

#VIDEO Kwa mara ya kwanza tangu lianze sakata la Mwimbaji #Ibraah kutaka kujiondoa kwenye Label ya Konde Gang, C.E.O na Mwanzilishi wa Konde Gang, Staa wa Bongofleva #Harmonize amejirekodi video fupi akielezea sakata hilo na kukiri kwamba hajamdai Ibraah shilingi bilioni moja kama alivyodai. “Nikiri kwamba Mdogo wangu alinitumia msg na kuniomba kwamba anataka kutoka kwenye Label na kwenda kujitegemea nami nilimjibu moja kwa moja kwamba nakutakia kila la kheri, kaa chini na Viongozi wa Konde Gang soma mkataba wako muone mnafanyaje, mkataba unasema endapo atataka kuvunja mkataba na kumiliki nyimbo zote hata zile alizozifanya na mimi ili ziwe zake milele ziwe zinaingiza kwake inatakiwa alipie hicho kiasi cha pesa kilichotajwa miaka minne iliyopita” “Hayo ndio yalikuwa mazungumzo sijui nini kimetokea kwake baadae akaja kusema kwenye mitandao yake kwamba nimemdai kiasi cha shilingi BILIONI MOJA, nikiri kwamba sijamdai kiasi cha BILIONI MOJA na nisingependa pesa yangu tena ije kunichafua mwenyewe, namtakia kila la kheri, kuanzia sasa yeye ni Msanii anayejitegemea Promoters mkiwa na show muiteni apate rizki aisaidie familia yake” “Kuhusu kauli yake ya kusema kwamba nilimuita chumbani, kwamba nimemwambia amtoe Mama yake Mzazi inahuzunisha, sina namna Mtoto akiunyea mkono huwezi kuukata, nimemuachia Mungu, nimemsamehe na ninamuombea, sihitaji msamaha wowote kutoka kwake akiona kuna tija sawa, akiona kuna haja ya kuomba msamaha Watu waliosikia maneno hayo ni sawa lakini anayestahili kuombwa msamaha zaidi ni Mwenyenzi Mungu” ——— Harmonize. #MillardAyoUPDATES

millardayo

98,077 次观看 • 1 年前