Loading video...
Video Failed to Load
This is Goated, amejam 😂
228,036 views • 11 months ago •via X (Twitter)
32 Comments

😂😂😂😂watu wa corporate wanaleta zile masheria mingi za ofisi kwa streets

Jaba hipendi maswali za kisenge😂😂

Streets hakuna Sheria😂😂 "Tutakosana na wewe vibaya sana."

Low budget Larry Madondo is trying to bully Alutta Kibritt Captain?

"Aliniambia niteme jaba"😂😂

Jamaa amechukua siku nzima kutengeza taxin alafu unamwambia ateme🤣

Waliharibu the moment walisho soja wetu wa aluta ateme jaba🤣🤣🤣

Was watching this live and I was like WTF, why would the reporter be that rude na iko live si eti watacut

Journalists don't like people who ask them questions. They want people whom they can ask stupid questions.

Anamwambie aje ateme jaba😂😂

Ati niteme gwethe? Bladibastad

But honestly Kenyan journalists pia need to up their game. They're just asking rhetorical questions.

😂😂😂 captain kutema jaba na ETA haijafika haiwes

kila mtu afanye shughuli yake.. unataka habari ama taxin?

Usiwaitaja jaba tena😂😂😂

Vile kumeenda leo sioni kama hio 2027 kuna elections zitafanyika. Najua both sides i.e gov't na opposition, watakuwa na goons in all polling stations 😂😂, itabidi wananchi wa kawaida wakae tu nyumbani. Goons ndio wataskia raha, na wa kukufa watakufa tu

Ateme aje na bado taxin haijajaa😅🤗hapo mtu angekula ngumi

How do I save this video jameni?😂😂😂😂😂

🤣,I love his attitude

Journalist doesn't know kuweka taxin ni procedure?

How can you be reporting from Mbeere na unaambia mtu ateme jaba😂.

Telling a captain to crash-land is so selfish 😂😂😂

Kenya jamani kuboeka ni kujitakia 😂😂😂😂

Tutakosana na wewe vibaya sana😂😂

He felt disrespected venye aliambiwa ateme jaba ndio aongee😂😂 He really felt violated 😂

Nlingoja hii kitu ifike alafu naambiwa niteme ndio niuliswo swali za kisenge

Wangeachana Na yeye the moment aliinama 😂😂 Camera inamtafuta haimpati💔

Msee wa black hat ni mbwa sana btw

shida ya kufanya live coverage as a journalist ni how to come up with questions to ask or keep the live feed going

Kama kula kuku ndo hiezi fanya akateme sasa kuongea tu

😂😂

Aluta kibrit 😂😂
