Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
This is Too Bad 🥹😭
132,634 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Very interesting story. We have a long way to go!! Pole Mayala!!

you might like this

Tararibu namkumbuka polepole alisema kuna watu wanaipiga copy serekali na kuiongoza kwa hapa Kati ambayo Wajuu awajuhi na wachini awajuhi sasa ndio akili zinatukaa sawa

Ktk hii interview, hakuna palipo ni kwaza kama aliposema kuna Kabila lilikuwa haliruhusiwi kuguswa. Na kabila hilo nila mkuu. Nani alitoa order wengine wanaweza uawa ila siyo kabila langu?🤔

Swali hili hapa

@pascomayalla pole sana mkuu, wengi tulielewa ile u-turn

Daaaaaaaa hii nchi ina mambo mazitoo sana alooo

Inasikitisha sana 😢

Dah kuna haja ya wananchi kuelimishwa kujipigania wenyewe

Inaumiza na inasikitisha sana

@OleMtetezi Dah tulifikaje huku
