Loading video...
Video Failed to Load
Tico - Kikongwe.๐๐๐ Miaka hiyo.๐๐
51,315 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
10 Comments

Yangongo kokoliko1 year ago
2005 darasa la nne mwanangu kipindi hicho Soda ya Coca-Cola ukinywa kwa pupa inaingia puani gesi yake siku hizi Coca-Cola wameipunguza kasi watoto wa 2006 hamjui haya

JunTao(้ฌ้ฌ)1 year ago
Kipind iyo ukinywa soda na mrija yaanii๐๐๐๐

Conc.H2SO41 year ago
Kuna kipindi kilikua kinaitwa boda tu boda TBC pale miaka hiyo kunaruka jionijioni hivi ndio ulikua unakula ngoma hizi halafu lazima wamalizie na Dar standup lake Benzino๐ค

Ochu Mpwemuka1 year ago
Wimbo alikuwa haupendi Shangazi yangu huu, na ule wa Dudu Baya Meno kama Ngiri nakupenda tuu: ๐๐๐๐

Pompiduu1 year ago
Pico sio tico

SANGATITI AM1 year ago
@KambinduDavid

rango_punter1 year ago
Mmi gen z

Seif1 year ago
@Seif1724 duuh kitambo

Don Corleone.1 year ago
Hili goma nakumbuka ndio tulicheza kwa dance show mahafali yetu standard 7 2004.

๐ฅ๐ฃ๐ ๐ฆ๐๐๐๐๐๐๐น๐ฟ1 year ago
Madansa
Related Videos
1:02
Sensitive content
Kinshasa esukisi indien motema๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
JL k
27,550 views โข 1 year ago
