Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

#TIN TIN NAMBA HAIUZWI. EPUKA MATAPELI!

10,908 views • 2 years ago •via X (Twitter)

10 Comments

mgosi's profile picture
mgosi2 years ago

Kitengo cha elimu ya mlipa kodi Tanzania kimepata mtu . Kuna kazi kubwa sana imepigwa Iringa naamini na hapo makao kazi itapigwa

Development Expert - University of Dar es Salaam's profile picture
Development Expert - University of Dar es Salaam2 years ago

Asanteni sana kwa Kufahamisha.

Zephania Chuchu's profile picture
Zephania Chuchu2 years ago

@TRA Mm nnaomba kuuliza, Niliwahi kupata TIN namba maana nilikuwa(ga) na wazo la kufungua Biashara baadaye nikaaihirisha, 1:👉je, TIN namba hiyo bado inatambulika? 2👉Kuna gharama zozote ambazo nnadaiwa labda kama malimbikizo?

Paul J.'s profile picture
Paul J.2 years ago

Asante sana Classmate wangu

ELIUD MWANALUSI's profile picture
ELIUD MWANALUSI2 years ago

Je unaweza kufanya application mtandaoni kwaajili ya kupata TIN number

FODIK DIGITAL INVESTMENTS's profile picture
FODIK DIGITAL INVESTMENTS2 years ago

Mhuuuuh hahahahah, umechelewa tajiri kuwajulisha umma🤣🤣🤣🤣

Ahmadbakari✌'s profile picture
Ahmadbakari✌2 years ago

Ila mnazingua sana na vijimasharti sana

critical nyan'gau🇹🇿🦂's profile picture
critical nyan'gau🇹🇿🦂2 years ago

TRA Punguzeni urasimu wa TIN kuna mkwamo kwenye kuipata 😀 msiniulize mkwamo upi ila kila mtu TRA anastahili yake ya kujiongezea kipato sijasema mshahara hauwatoshi wafanyakazi wa. TRA wakuwajengea magorofa yenye kuleta maafa mtaani.

Kitinyo's profile picture
Kitinyo2 years ago

Haiuzwi lakini kuipata sasa hiyo ya biashara, kivumbi

ONE STEPS AHEAD -COMPLETES THE JOURNEY's profile picture
ONE STEPS AHEAD -COMPLETES THE JOURNEY2 years ago

TRA kuna kero ambayo mnaijenga kwa wananchi ambayo si rafiki kama sehemu ya huduma kwa mteja mnayotakiwa kuitoa. Kuna hii suala la mteja hasa madereva ambao wanachelewa kurenew leseni zao za udereva kwa sababu mbali mbali za msingi.

Related Videos