Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
TITANIC 5-YEAR MELTDOWN. 2024/2025
45,400 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

ADAMS1 yıl önce
Kennedy tatizo kwenye hii video ni ufupi wake 😂 😂😂😂 video fupi sana

Kenny Mmari Snr.1 yıl önce
Ilikuwa dakika 17 nikasema ngoja niikate🤣

Kabaka II1 yıl önce
Toka nizaliwe sijawahi kuona Simba au Yanga anakubali kuwa mwenzie ni bora kuliko yeye..ndio naona safari hii😆😆!Hawa jamaa tumewashika pabaya sana

Rogers Masahi(Jr)1 yıl önce
Naaam🤣🤣🤣

Lugendo Naaman1 yıl önce
Raha sana makolo wakiumia. Wana kamdomo sana 🤣🤣

Mr Roboto👽👽1 yıl önce
😂😂😂

Abihudi Mwakijambile1 yıl önce
Nimesikitika

Armando Ss Chattanooga1 yıl önce
Kuna sehemu nimemuona Adam 😄😄😄

Al Battan1 yıl önce
Nimejikuta naingiwa na huruma badala ya furaha,ila ngoja niwacheke tu

Erasto Lashau1 yıl önce
hii nilikuwa naisubiri sana

