Loading video...
Video Failed to Load
Toilet Paper?
38,705 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

NJAAA IPO PALE PALE🫵🏾😂

Should men always pee after sex?

@ccm changeni ng'ombe yenu hii

@jokateM chama kiweke utaratibu wa kumsaidia Dada yetu.

Watu wa x qmmq mnaspana haka kaclip mmekatolea wapi qmmq😂😂😂😂😂

Wasaniii wenzie wamchangie jamani..m13 sio nyingi kwao, wakiwa na umoja wanamalizia jambo

Alivyojimilikisha ugonjwa sasa 🤦♀️ Hii “UGONJWA WANGU” sijaielewa kabisa Anyway pole kwake

Wasanii wengi duniani, sio Tz pekee, DUNIANI wananjaa kali, ni basi umaridadi huficha umasikini.🤝

@ccm_tanzania chama changu kilichotukuka, kitafanya namna kwaajili ya binti huyu, Sina mashaka na chama changu, cha bora kabisa kuwahi kutokea Afrika.

Kwani wasanii wenzake kawashirikisha wakakataa? Kumchangia. Je? wanachama wenzake Wamegoma Kumchangia? Sawa, Hamna shida tuzidi kuangalia game.

Mbona kama ni pk
