Loading video...
Video Failed to Load
Tuanze na Huyu Jombi...๐๐๐
38,944 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

Baada ya Kuona hizi Comtent za watu wa Arusha BSS..๐๐๐๐ Imenifanya nikalipia King'amuzi changu Cha startimes ๐๐๐๐ Oyaaaa!! Oyaaaa ๐๐๐๐๐ Angalia Mwenyewe... Video kwa Comments๐

Niaje Mzee angu...๐

Huyu ana Kipaji ๐

Njiwa Flow alipitaga Huku... Next time nitawapostia Clip yake ๐๐๐๐๐๐

huyu jamaa wa masambusa ukimkuta amelamba suti... aysee ni hatari

Jamaa anajiita kanal Maswaga, anauzaga sambusa kitaa pia bi degree holder man

Huyu jamaa hakuna chuo utamkosa na hizo sambusa zake Arusha๐

Mwanangu sana huyu unauza sambusa tamu jamaa pia ni mwalimu by professional

Huyu jamaa nimesoma nae chuo

Chalii ya makumira kilala big up sana kwakwe ! Mungu amsaidie atoboe! Smart person sambusa kwakwe hazilal

inaoneshaa watu n weng saaan hum wa kilala๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐
