Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Tuanzie hapa leo, kuna points za muhimu.
15,315 Aufrufe • vor 15 Tagen •via X (Twitter)
8 Kommentare

Mabasi yanafanya kazi muda huu ushachelewa sio mada tena hizo

Hio cuption tu hapo ni utopolo usiweza kutekelezeka 😁😁 kwa hio wakafanye kazi gani hao trafic?

Picha Mbao. Size hii A3 bei 20,000. WhatsApp 0677 523 114 Nitumie picha zako WhatsApp nikutengeneze picha mbao nzury kama izi picha zozote zinaweza kuwa katika mfumo wa picha mbao au frame. Karibun sana wateja.

Picha saa inayofanya kazi na inakaa ukutani. Size A4 Tsh: 40,000 Size A3 Tsh: 50,000 Nitumie picha zako nikuwekee katika PiCHA SAA yako inayofanya kazi vizury kabisa. WhatsApp number 👉 0677523114 Nafanya delivery dar na mikoani kwa usalama Nipo kigambon/sido Repost naomba

Hili senge la wapi tena

Rwanda kuna kamera na bongo je

Nilichogundua kama kuna msala au haki mnaoambania, ikitokea wanasiasa haswa hawa wa upinzani wakiingilia tu mnaonekana hamko serious na mnatumika na mwishowe mambo yanaisha bila kupata haki

Kwa dereva hawa hawa wanaogonga watu barabarani na kukimbia hivyo bila kutoa msaada kwa mhanga. Pia tuelewe kwamba Askari hao wapo kwa ajili ya wananchi ili kufanya kuwadhibiti madereva wasilete shida kwa raia .
