Loading video...
Video Failed to Load
Tukifuturu tutatoa tamko
70,725 views • 2 years ago •via X (Twitter)
9 Comments

Yuko sahihi, clip ni fupi. Ile dhana ya miili mipya inasadifu miili yenye mvuto, nuru, hadhi ya ushababi na kimo(urefu)

Ungeweka full clip...ungeelew mantiki yake alimaanisha "Watakaoingia peponi wote watapewa miili mipya, nguvu nk." hivyo peponi hakutakuwa na mtu mfupi kama ilivyo duniani wote watakuwa warefu.

Uyo ni shehe wa mchongo Hana akili kwenye khutba zake zote hajawahi kuongea ukweli kutoka kwenye Quran, sio Kila anaevaa kanzu na kofia anaijua dini

Daaah mbona kama Imekuwa ghafla Sana hii tunaenda wapi Sisi .....mbona Ripoti ya CAG

😂 😂 Daaah pepo ni ngumu jaman vigezo ni yomi

Watu wafupi tukutane kwa tent tutoe maoni😎😎

Kaka @joti inatosha tulia don't take it personal wanadamu ndivyo walivyo🤝

Hee mbona gaflaa ìvoooo

Shekhe ubwabwa huyu
Related Videos
Sensitive content
Umoja wa walimu wasio na ajila nchini watoa tamko nzito kwa serikali.
MwanaHabari
38,220 views • 1 year ago

