Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Tulia huna akili kabisa.
11,735 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Amefuta mbona chap sana

Kamanda tupieni na nyie aerial photos

Si amezoea kushinda Kwa kura za wizi Ivo anatafuta pakujishika.Tunamwambia na tunwaambia wabunge 99.99 walioshinda Kwa kura za wizi 2025 wakalime maana hawatarudi mjongoni.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

@HildaNewton21 Nadhani kabla hujasema hana akili ungetuma picha za drone ili tukauona uongo wake lakini kwa hiki ulichotuma ni kutufanya sisi hatuna akili

Vitus Mzee wa mamba wewe umeleta close up photo za picha za simu tafuteni za drone tumalize utata

Rango

Amekuwaje Rais wa mabunge duniani, hapa labda wewe ndio una changamoto, umefanikiwa kupata nafasi gani ya uongozi vile kwenye hii dunia?

Picha ya juu tafadhali 😂🙌

Kosa usiloliona ni kuwa, picha unayozodoa imepigwa kutokea angani wakati ya kwako imepigwa kiubavu. Huoni kuwa hujatoa jibu mbadala, maana hata hiyo unayozodoa ikipigwa kwa ubavu itaonyesha mamilioni ya watu. Kama huna nyingine basi T A kawazidi ujanja na pengine ndio ukweli.
