正在加载视频...

视频加载失败

22,923 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

REGAN™🔴 的头像
REGAN™🔴1 年前

Code; Wageni(wachina) wanaingia nchini kama wawekezaji, lakini wanakuja kufanya biashara ndogo ndogo za kawaida ambazo watanzania wakawaida wanatakiwa kuzifanya. Serikali imelala siku ikija kushituka itakua imechelewa tutakua na machinga wengi kuliko wazawa.

Nicki Massawe 的头像
Nicki Massawe1 年前

Wachina wanauza hadi Vitumbua mtaani

WierengaTax 的头像
WierengaTax1 年前

Looking for a new tax return preparer?✅ Want to handle the entire process from your smartphone, computer, or tablet?✅ Reach out today for a free estimate! 😀 [email protected]

Stev 🐝 的头像
Stev 🐝1 年前

Afu nikisubiri Bwana ShuNshwaShin aongeee kichina😅🤣😂

Markseven 的头像
Markseven1 年前

@masoudkipanya mbona Mnatuharibia sis WATAALAM, WAKUU WA SECTOR na WAWEZESHAJI Au mnatataka Tusipate 10% Na Trip za kwenda Azabaijan na Guangzhou Kwa Ajili ya Semina Elekezi Na Kupata Exposure ili tukirudi KAZI IENDELEE ya kuwatumikia WALANCHI? SUBIRINI KWANZA TUNAGAWANA MAJIMBO

Godson Salema 的头像
Godson Salema1 年前

." In This world nothing can be said to be certain except death and Taxes" Benjamin Franklin

TATA MTANGANYIKA 的头像
TATA MTANGANYIKA1 年前

Mambo ya wachina. Shamba la Bibi

Andy™ 的头像
Andy™1 年前

😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwekezaji

Kaka 的头像
Kaka1 年前

Binafsi nafurahi kumuona Cza toka enzi za Ruge jamaa anazidi kukua, hakika kwenye tasnia una mtoto saivi Masoud

相关视频