Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Tumemalizana nao kwa Leo …..kesho tena
11,529 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
7 Yorum

Clement A Manang1 yıl önce
Kha pamoja na CCM kusomba watu kama ng'ombe Leo ume wafunika kirahisi iv?

Elijah141 yıl önce
Imagine pamoja na kubana wapinzani but watu wote Hawa wamejitokea hakika people are tired of ccm Sasa wajiandae tu

Dx0071 yıl önce
Kesho wapi iyo

bAbA_mapacha mtz1 yıl önce
pamoja sana

Hpp hope1 yıl önce
Hiyo kauli kwamba" CDM mnachelewesha maendeleo" ifuteni kwani siyo nzuri Kwa wananchi wenye uelewa mdogo wanaweza kuamin Ivo kwel, iacheni kabsa!!

MsumenoMkali15🇹🇿.1 yıl önce
Safi sana wenje

God's first1 yıl önce
Jiwe zuri Sana wanakila kitu na Bado hakuna maendeleo Sasa nani anachelewesha maendeleo
Benzer Videolar
Mnamkwaza Charlie Chaplin, atawajibu tena kesho!
Kumbusho Dawson Kagine
43,871 görüntüleme • 5 ay önce
