Loading video...
Video Failed to Load
Tumeshampokea
74,554 views • 3 years ago •via X (Twitter)
9 Comments

Presenter Noah3 years ago
Hawaamini macho yao 🎶🤣

Bonzo3 years ago
Unacheka kinafiki sana we jamaa😁

GWIJI3 years ago
Chuma kitangazwe sasa, kisiwekwe ndani kitapoa baridi sikuizi

Olemakame3 years ago
Kicheko gani hicho cha kubana pua mtoto wa kiume?

🚨SheiverUpdates🚨3 years ago
Sasa si tukiamshe saa 2 hiko chuma Semaji @ahmed__ally

MwingaHD💡3 years ago
Kaka unawafariji sana wafiwa sifa zako ni nyingi huku za kikolo

Amon Stafford 🇹🇿3 years ago
Tunaenda kuitikisa nchi tena hatuna huruma this time heshima lazima irudi unyamani🦁

Fetty Wakuache3 years ago
SITOACHA KUWAPA WABABA UTAMU😍

MwingaMnonu93_mbeya_boy 🇹🇿3 years ago
Semaji la caf namba 7🦁🦁🦁🦁🦁

