Loading video...
Video Failed to Load
Tunaingia ingia, tunaingiaaaa
21,378 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Wivu

Zitto bwana 😅😅😅😅 Tatizo ni kwamba wewe na chama chako amuaminiki.

Kaka zito 😂😂😂 mnaingia Wapi mkuu? Mlimani city kipo chama kikuu cha mpinzani au unaingia kumchukua mbowe baada ya kushindwa ?

Mh shughuli yako si ilishapita lkn !!!

Mnajipostisha vipost il ionekane hamko bize kufatilia uchaguzi wa chama kikuu cha upinzan. Kila mtu leo ni uchaguzi chadema everywhere🤣 Nawahakikishia hata team flan ikija kwenu msifikiri mtakuja kuipiku chadema hata siku moja. Ngogwe itaishia ujiji,zenji&mikoa ykusini tu🤣

Ukiwa unaongea na Zitto hakikisha unashika adabu kwanza. Huyu ni baba wa siasa za Mageuzi Tanzania. Hakuna anayebisha kwenye hili Makonda Bashite alikiri kwa kinywa chake kuwa ZITTO KABWE ndie aliamsha siasa ndani yake Kule Zanzibar wapo wanasiasa kadhaa wanakiri, wasomi n.k

Act mlijiandaa sana yaani hata nakala ya vitabu hawa Chadema wanagawana muda huu na havikutosha,Wamekimbia Mwenge Kuprint vingine

Mbona kama leo mnapenyeza AGENDA...

take a trip down memory lane

Ngogwe mjengoni

Unamaanisha nini Ndugu @zittokabwe
Related Videos
Chekini vile watu tunaingia CBD! One million march it is #SiriNiNumbers
Josh
56,191 views • 1 year ago
