Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU🔥🔥🔥
53,517 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Ila huyu Mzee kanyooka sana MUNGU amlinde huko alipo.

🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

Lissu kanyooka sana from day one. Hajawahi kuwa na misimamo inayotiliwa shaka. Akili kubwa na maono mapana. Akili ndogo haiwezi kumuelewa huyu mwamba.

Kiduku nakuelewa sana video zako lisu anakujibu na elimu anakupa

Huyu jamani ni maliasili ya Taifa kabisa japo Alindwe hata kama yupo gerezani

"Lazima kuwe na kitu unachokisimamia ili usiangukie kwenye kila upepo unaovuma"

Alafu akili kubwa kama hii inamiminiwa marisasi,, nchi hii inavilaza saba,,

Chuma cha moto long time kitambo

Hiki kipindi kilikuwa moto sana! 🔥 "Mkasi" by @EceJay and her crew 🙌🏼

Man and half

Ichi kidem kinadhau sana
