Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Tuondokeeeee wanangu wa Simba Sc. 🦁🔥 X Factor Challenge Accepted ✅
12,343 Aufrufe • vor 3 Monaten •via X (Twitter)
11 Kommentare

Acha kupotosha wana Simba kwa promotion ya biashara yako, acha uongo. Kwani kumsajili mchezaji kama Feisal hadi watu announce Jezi kweli daaaaaaaaaaah...?!!!! Hivi kwenye account yako ya bank unakosa dollars milioni 2 tu ya kumchukua Fei kisha baadaye utazirudisha baadaye?

Mtuache tumexhoka na upuuzi wenu labda mtusaidie kunya

Matapeli Pesa zisipokamilika mutarudisha?

Mnapangwa sana wazeee halafu kusahau ni secunde tu

Tulia wewe

Matapeli tu wameshindwa kumsajili mwalimu kazi kelele tu

Sasa zile billion 30 Bank za nn km bdo mna changishana

Uendeshwaji wa timu unamambo mengi

Aibu kweli hii kwenye mpira

Mlitaka tukanye tumekunya lakini hamkufanya lolote poteeni

Mwanaume anaongea mate yamejaa mdomoni hivyo
