Loading video...
Video Failed to Load
Ubaya Ubwela - maana yake
10 Comments

Kabigwa_Afya💊2 years ago
“Huku nikiweweseka kiwendawazimu” Maana yake nini?

Latto 𝕏2 years ago
Kwahiyo yanga leo wakifungwa wanakuwa MAKABWELA

DK CHING2 years ago
@rasoulHK Ila nkumbi

Daudimollel2 years ago
Joramu, hakika wewe ni Tunu ya nchi. Tena kijana kabsa. Sikuwa najua "Ubaya ubwela " ni ni nini! Hongera sana

Bullet Chember2 years ago
Tukitaka kusema UBAYA UMEWARUDIA tunaiwekaje hiyo mtaalamu?

Sonic2 years ago
Aisee huyu sio mjukuu wa Baba wa taifa Nyerere? 🤔 Mbona kanyooka namna hii?

NI STORY TU2 years ago
Nilijuwa ubaya bwela = Ubaya ubayani. Yaani kwa kumaanisha kwamba, kwakuwa uliwahi kunifanyia ubaya, basi na mimi leo wacha nikufanyie vivyo hivyo...

SEY2 years ago
Ulumbi kila pahala 🤝🏾

Dr.Joseph2 years ago
Napataje kitabu Cha Ulumbi na walumbi

San2 years ago
ubaya umerudi ahsante joram nkumbi nilikuwa sifahamu neno ili
Related Videos
0:49
Sensitive content
Ubaya Ubwela 💪🏽 #nguvumoja #simba #mocola
Mohammed Dewji MO
53,979 views • 1 year ago

0:30
Sensitive content
Manakshi ya Ubaya Ubwela kutoka kwa 'Captain Popa' Mbwana Samatta yamemalizwa na marashi kutoka Zanzibar ya Feisal Salum! 🇹🇿⚽️ #AFCONQ2025
CAF
160,872 views • 1 year ago
