Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
📍Ubungo Bus Terminal #Tbt
16,967 görüntüleme • 1 ay önce •via X (Twitter)
22 Yorum

Ilikua ukiwa umechelewa bus lako afu ukute jamaa wanatoka kwa kasi hivi, kichwa lazima kiwake 😅

Ukuti mtu🔥

Hood ya Mbeya, Mapema sana.

Hyo ngorika iliyokuwa nyuma ya Taqwa hadi saa 6 anakuwa anaitafuta moshi

🔥🔥

enzi hizo shabiby ilikua na picha ya nyani nyuma ....

Tbt bora ya kufungia mwaka kabla Tz haijazaliwa Yotong au D14. Machine Scania, diff Isuzu, Body by fundi Nyundo....hatari sana

Nimeona bajaji ya blue apo. Daah jamaa atakua alipiga sana ela enziizo

MAHUTA 🔥🔥🔥

🔥🔥

Daah umenikumbusha enzi hizo,halafu kulikuwa hakuna cha speed gavanor,ngoma ikitoka ni risasi mmanake.😂

🔥🔥

Nmeona kipisi cha Budget, dar mbeya 🔥

🔥🔥🔥

Allys Sports hapo Mwanza saa moja tu 🙌🙌🙌

Nimeiona hood apo kidogo nlie😭😅

❤️❤️❤️

Daah 😂

Daaah! Sijaiona Buffalo mnyama, Matema, Air msae, Ruvuma line.

Saa kumi na 12 hy usiombe hapo ngorika awe ashatoka

@kalage_jr 🔥🔥…

Enzi hizo ukisikia bus limepata ajjali🙌

