Loading video...
Video Failed to Load
Ugomvi wa mchina na operator ni kwenye wese tu.😄
11 Comments

@ambwene_ Me give money go kulala no problem, watingaji kama hawa wakiwa wanne tu wachina wote wanarudi kwao China 😂

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

@ambwene_ Mwamba anasisi tiza kibunda kwanza,kazi yako baki nayo!!🙌😂😂

Kibunda kaka😅

@ambwene_ Hapa give money me kulala 😀

Kikubwa money itoke😂

@ambwene_ Mchina kasema jamaa kaiba. Jamaa kamwambia kata hela ya siku 3. Inayobaki apewe akalale.

@ambwene_ Back in 2011 mchina ashawahi piga kijiko kisa issue za mafuta, @Jizzlewantandu mlipiga sana hela kwenye mafuta ya wachina 2011-12.😂

@ambwene_ Nimecheka kisenge😂😂 anakwambia manager give me manoy kulala kule😂😂

@ambwene_ 😂😂😂 apo vibration ya skaveta ishachezesha adi ubongo, apo aelewi kitu

@ambwene_ Jamaa tayari anahela ya mwarabu anataka akalale tu😀
