Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

13,099 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von MichembeMaparage@gmail.tz
[email protected]vor 2 Jahren

Sahihi japo ukweli unauma

Profilbild von Paruanja
Paruanjavor 2 Jahren

Tusamehe Bro .. Ndio tunajaribu kuwatoa watu usingizini Bro ..

Profilbild von fukufuku
fukufukuvor 2 Jahren

Katika nchi za E.A, Tanzania nikubwa kieneo, population yake ni kubwa, imepata Uhuru mapema zaidi, Ina rasilimali nyingi na politically stable, ungetegemea iwe nchi inayoongoza kwa uchumi imara, miundombinu mizuri na maisha Bora zaid kuliko nchi zote za E.A.

Profilbild von Ndonde
Ndondevor 2 Jahren

Ha ha haaaa Watanzania hatuna akili bali tuna Alikiba music. Mziki ndo nini et? Kazi umbea tu. Jamaa amenena vizuri. CCM imetufanya zezeta, manafiki, wambea tu na wachawi machawa. Vijana tuamke kutoka kwenye hii kaputi

Profilbild von Ally Badru
Ally Badruvor 2 Jahren

Raia wenye akili wala hatuchekelei ila Hawa wanaiependa ccm ndio wanachekelea coz wao ndio hawaeleweki

Profilbild von zulkiflishoo@gmail.comzulkiflishoo@gmail.com
[email protected]@gmail.comvor 2 Jahren

😂😂😂😂 msumari huo Watanzania ni wapumbavu wanachojua ni umbea wa Mange na Bongo flavor tu na ndio mtaji wa watawala tuamke .

Profilbild von Msinune🐷
Msinune🐷vor 2 Jahren

@Oleshangay You are very right! Sasa sikiza vizuri, ninyi sio mmesoma, hapana mmesomeshwa! Why? Matukio ya maisha ya Kenya ndio imewasomesha! Tanzania tumezoea huruma, hata uhuru hatukupigania, ardhi hatupiganii, ukabila hatupiganii, sasa katiba pia hatupiganii hiyo maana yake hatujasomeshwa

Profilbild von Anthony Kasigwa
Anthony Kasigwavor 2 Jahren

Hili swali naomba atujibie @SuphianJuma anajua sana Cha kuongea juu ya Tanzania ya mamaake

Profilbild von Kifefe
Kifefevor 2 Jahren

Yuko sahihi

Profilbild von XF-2821
XF-2821vor 2 Jahren

Kaka mwambie tuna vitambi tupu

Ähnliche Videos