Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ukamba na swagree.
213,736 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Nonsense. Post sensible stuff you cow.

Ulipewa pesa ukanyimwa akili ya kutafuta taste mzuri ya fashion be it ni viatu ama nguo,the only thing unajua ni so long as it's expensive it's dope. Change hiyo mind msee,hizo maviatu hata hazipendezi😶

Boss sii uko na watoto wakubwa wenye wako hapa twitter. Man wakiona umeanika ngotha hivyo sasa inakaa aje? Wacha kupea watoto aibu😂😂

Sonk si uni promote slippers Alafu mkose kurepost mta niambia niende nitoe wapi stock

Wewe unamalizwa na maswagareee na utotole mimi nikimalizwa na wamamare

Pesa haiwezi nunua class

manze mhesh nipe kazi ata kama ni kuzisafisha tu na kupanga

When I grow up I want to be like you 🥲

Na mbona Kabogo na Joho hawashine na mlianza pamoja?

Nope moja mkuu

