Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Ukibebwa hivi wewe utafurahiiii?

47,457 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

Dr Francis A M. profil fotoğrafı
Dr Francis A M.1 yıl önce

Haki za binadamu zimetushinda tunaanza kuwatetea kuku

SPOTTED HYENAS🦊 profil fotoğrafı
SPOTTED HYENAS🦊1 yıl önce

Safi sana, nimesomea wanyama, haki za domestic animals hasa wafugwao nazijua, ni utaratibu wangu mara nyingi sana huwa nasimamisha watu, unakuta mtu amebeba kuku kichwa chini miguu juu, aisee sijawahi kuwaacha salama wapumbavu wa aina hii. Hii nimeipenda sana kwa huyu officer.

Mr Grinch profil fotoğrafı
Mr Grinch1 yıl önce

😀 misala ambayo huwez zania kma itakukuta

Solar Heavy profil fotoğrafı
Solar Heavy1 yıl önce

will we ever land on Mars?

Gmmytz🇹🇿 profil fotoğrafı
Gmmytz🇹🇿1 yıl önce

I like this kuna watu akili zao ziko chini very stupid anadhn hao kuku hawana damu kam yy jinga kbs

mwiba09 profil fotoğrafı
mwiba091 yıl önce

Jamaa yupo sahihi ata kana wanaendwa kuchinjwa wanastahiki zao.

Simtanda profil fotoğrafı
Simtanda1 yıl önce

Kuku wenyewe wameishahukumiwa kifo wanapenda kichinjwa

Hartz MD profil fotoğrafı
Hartz MD1 yıl önce

Huyu kachero kama anataka kuku hivi

Wa mipango profil fotoğrafı
Wa mipango1 yıl önce

Huyo jamaa yuko Directly vibaya mno, hataki hata mazungumzo kudadeki 🤣🤣🤣

Reema-MinjBen@MinjBenReema profil fotoğrafı
Reema-MinjBen@MinjBenReema1 yıl önce

Ingekuwa Ulaya au America huyu angefungwa Jela kwa kosa la "Animal Cruelty"

M77 profil fotoğrafı
M771 yıl önce

Moshi ni mji ambao 1. Wanajali usafi wa mazingira 2. Kukata mti bila kibali ni mwiko 3. Mifugo wanawajali sana na ufugaji wa kisasa ni mkubwa hasa ng'ombe, kuku, ngurue sizani kama Kuna mkoa utatuzidi Hivyo tunajali afya ya mazingira kiujumla 👋👋👋

Benzer Videolar