Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Ukiniangalia Vibaya Utaniona Tu Vizuri

68,204 views • 1 year ago •via X (Twitter)

10 Comments

suriama's profile picture
suriama1 year ago

Huna pesa buana ya kununua hilo gari sema ushapata namna ya kuwakamata vijana Kuna mwanangu pia dalali anavimba na dinga hizi zinauzwa sema yeye ni dalali na ana andika plate namba yake sjajua anatumia bei gan na anafaidika na nn ila huna utajiri wa mumiliki gari la 1.5b kaka 🙌

Concrete Nail's profile picture
Concrete Nail1 year ago

@TRATanzania

Wilson malakyese's profile picture
Wilson malakyese1 year ago

Ww ishi mnyakyusa mwenzangu na sisi kwa kibul atujali ww ni tajir kabisa mana izo ndinga baba

young yobe's profile picture
young yobe1 year ago

huna baya tajiri ila fanya lolote nipate mkono wa eid tajiri 0717007078 ayubu🙏🙏

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

We're Flying out now

Otyboi_hija's profile picture
Otyboi_hija1 year ago

Tajirii gan huyuu anajieleza elezaaa hv

Haile's profile picture
Haile1 year ago

Nitakuona vizuri kma nikijua kazi unayofanya fara ww

Muddy Kengerah's profile picture
Muddy Kengerah1 year ago

Congratulations 🎉

Mbeba Lawama 🗣️'s profile picture
Mbeba Lawama 🗣️1 year ago

Sema hii nchi malofa wengi qmmae na jamaa ashalijua hilo. Hv kwa biashara gan ambazo anafanya za kuingiza gar za kifahar kila baada ya mwez au miez miwili. Km siko mwez wa 1 hapa ameanza kuonekana na maybach sasa hv haonekan nayo tena. Wazee shtuken au akili zimeingiliwa.

PAKASHUME's profile picture
PAKASHUME1 year ago

Kuna mtu ataibiwa leo… they dont care kuweka nailon haiwez kuzidi 40k na hii gari ni ya dodoma

Related Videos