正在加载视频...
视频加载失败
Ukipata muda sikiliza hapa
38,459 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Swala la kuchukua raia kwenda jeshi Ni azimio la bunge la kitapeli sana Jeshi sio matakoni Jeshi linaitaji kujiandaa Shida vijana wakishaapiga push up 2 mtaani anajiona mjedaa Jkt ni muhimu ili kupata vijana walio tayari Kama wanatakawaende jkt

Ni kwel hiki kigezo kinawaacha watu wengi nje ya box

Kwa JW ni ngumu sana kuchukua vijana direct kutoka uraiani bila kupitia Jkt

Huwezi chukua vijana wajiunge na jw direct mtaani hivyo, mafunzo ya jeshi si lelemama

Lukuvi alitakaa kupindisha pindisha vitu wakati anajua wazi hilo adhimio walilipitisha na yy akiwepo humo ndani Bahati nzuri Spika kamkaziaa

Pia suala la miaka wanakaza sanaa aiseee

Ipo miaka watu walikuwa hawaendi JKT na JW walikuwa wanaajiri je waliokuwa wanawaajiri walikuwa wanatoka wapi kama JkT ndo kigezo? Wapo wanajeshi ambao wanatoka uraiani moja kwa moja mpaka RTS bila kupita JKT na wanakuwa wanajeshi, hoja ya JKT ndo uwe Mwanajeshi haina mashiko

Nonsense Tulipokuwa jeshi kuna vijana wengi wakakamavu wenye uzalendo,walio tiyari kuitumikia nchi hiiii wapo makambi ya jkt, why can't we employ then, issue ya qualification ya kupitia jkt ni la msingi sanaa ,na hicho kigezo mlikiondoa kisiasa, tuache siasa kwenye jeshi

Hapo Spika wa Bunge ametumia Hekima kubwa sana, kwa mara ya kwanza nampongeza Spika wa Bunge @TuliaAckson kwenye hilo. Hongera sana

....waende JKT, watu wasitafute kisingizio Kwanza inarahisisha kupata vijana sahihi
