Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Ule mpango wa Serikali kuhamia DODOMA uliishia wapi?

63,387 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•2 years ago

Watanzania, wanalalamika, Baadhi ya Project kubwa alizozianzisha Magufuli, zimegeuka kuwa MAPANGO! Mfano, The MAGUFULI CITY asee majengo yaliyopo huko, ni next level Angalia mwenyewe.... Video kwa Comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•2 years ago

#WADHAMINI TIGO/ZANTEL POST PAID Zungu anaunga vifurushi kwa mtu mmoja mmoja tu huduma inakua tayar ndani ya masaa 24 hadi 48 VIGEZO Tin Namba, kitambulisho chochote, email yako active, namba yako (huna chochote inbox whatsapp) Bila kusahau screenshot ya muamala wako FAIDA ZAKE ~Ukiwa kwa system unaweza lipia packge kidogokidogo hadi ukamilishe ~ Bando unalipia mwenyewe moja kwa moja kwa Kampuni (Tigo) ~ Hakuna mtu utaemtumia hela yako Usalama 100% Kila tarehe 1 unawekewa packge uliyoomba mcheki inbox kwa tayari kuungwa Whatsapp link

Mbishi โš–'s profile picture
Mbishi โš–2 years ago

No doubt MEKO was nice and nasty

Headboy wa Taifa๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #tanzaniano's profile picture
Headboy wa Taifa๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #tanzaniano2 years ago

Mbona hayo yamefikia hatua hiyo akiwa ameshaondoka, by 2021 yote yalikuwa ground floor peke yake, baada ya yeye kuondoka ndo yamejengwa kufikia hapo, na ndiyo majengo ya Wizara zote Yako hapo.

Milestone~Otana๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Milestone~Otana๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

Bora hata Magufuli alikuwa anajenga hivi, huyu wa sasa sielewi nyuma wala mbele. Naona nchi kama imesimama vile

๐Ÿ‡ชโ€Œ๐Ÿ‡ฒโ€Œ๐Ÿ‡ฒโ€Œ๐Ÿ‡ฆโ€Œ_2๏ธโƒฃ8๏ธโƒฃ_๐Ÿ‡ธโ€Œ๐Ÿ‡ฎโ€Œ๐Ÿ‡ฝโ€Œ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
๐Ÿ‡ชโ€Œ๐Ÿ‡ฒโ€Œ๐Ÿ‡ฒโ€Œ๐Ÿ‡ฆโ€Œ_2๏ธโƒฃ8๏ธโƒฃ_๐Ÿ‡ธโ€Œ๐Ÿ‡ฎโ€Œ๐Ÿ‡ฝโ€Œ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

Dah angekaa mpk saiv pangekuwa California

PaYRoLL๐Ÿช™'s profile picture
PaYRoLL๐Ÿช™2 years ago

Huu mradi umekula pesa nyingi sana. Hata kama mwenye maono alibugi, cha msingi kwasasa uendelezwe. Usiachwe ukaoza. Mifuko ya pensheni itakua imedhohofishiwa hapa na chato airport๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ila Magu๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ’”

MR Follow back's profile picture
MR Follow back2 years ago

hii background song ni ngoma ya nani??

Elvyn Wilzy's profile picture
Elvyn Wilzy2 years ago

Huu mjiii ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

Kaupeposhaban14๐Ÿฆ‹'s profile picture
Kaupeposhaban14๐Ÿฆ‹2 years ago

Kaka hayo majengo Yote Yapo wapi

Luka (modric)๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Luka (modric)๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

Samia ameshaufinyia kwa ndani,

Related Videos