正在加载视频...

视频加载失败

Ule mpango wa Serikali kuhamia DODOMA uliishia wapi?

63,455 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏2 年前

Watanzania, wanalalamika, Baadhi ya Project kubwa alizozianzisha Magufuli, zimegeuka kuwa MAPANGO! Mfano, The MAGUFULI CITY asee majengo yaliyopo huko, ni next level Angalia mwenyewe.... Video kwa Comments👇🏾

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏2 年前

#WADHAMINI TIGO/ZANTEL POST PAID Zungu anaunga vifurushi kwa mtu mmoja mmoja tu huduma inakua tayar ndani ya masaa 24 hadi 48 VIGEZO Tin Namba, kitambulisho chochote, email yako active, namba yako (huna chochote inbox whatsapp) Bila kusahau screenshot ya muamala wako FAIDA ZAKE ~Ukiwa kwa system unaweza lipia packge kidogokidogo hadi ukamilishe ~ Bando unalipia mwenyewe moja kwa moja kwa Kampuni (Tigo) ~ Hakuna mtu utaemtumia hela yako Usalama 100% Kila tarehe 1 unawekewa packge uliyoomba mcheki inbox kwa tayari kuungwa Whatsapp link

Mbishi ⚖ 的头像
Mbishi ⚖2 年前

No doubt MEKO was nice and nasty

Headboy wa Taifa🇹🇿 #tanzaniano 的头像
Headboy wa Taifa🇹🇿 #tanzaniano2 年前

Mbona hayo yamefikia hatua hiyo akiwa ameshaondoka, by 2021 yote yalikuwa ground floor peke yake, baada ya yeye kuondoka ndo yamejengwa kufikia hapo, na ndiyo majengo ya Wizara zote Yako hapo.

Milestone~Otana🇹🇿 的头像
Milestone~Otana🇹🇿2 年前

Bora hata Magufuli alikuwa anajenga hivi, huyu wa sasa sielewi nyuma wala mbele. Naona nchi kama imesimama vile

🇪‌🇲‌🇲‌🇦‌_2️⃣8️⃣_🇸‌🇮‌🇽‌🇹🇿 的头像
🇪‌🇲‌🇲‌🇦‌_2️⃣8️⃣_🇸‌🇮‌🇽‌🇹🇿2 年前

Dah angekaa mpk saiv pangekuwa California

PaYRoLL🪙 的头像
PaYRoLL🪙2 年前

Huu mradi umekula pesa nyingi sana. Hata kama mwenye maono alibugi, cha msingi kwasasa uendelezwe. Usiachwe ukaoza. Mifuko ya pensheni itakua imedhohofishiwa hapa na chato airport😀😀 ila Magu🙌🏾💔

MR Follow back 的头像
MR Follow back2 年前

hii background song ni ngoma ya nani??

Elvyn Wilzy 的头像
Elvyn Wilzy2 年前

Huu mjiii 🙌🏽🙌🏽

Kaupeposhaban14🦋 的头像
Kaupeposhaban14🦋2 年前

Kaka hayo majengo Yote Yapo wapi

Luka (modric)🇹🇿 的头像
Luka (modric)🇹🇿2 年前

Samia ameshaufinyia kwa ndani,

相关视频