Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Umesikia kingereza icho
20,328 Aufrufe • vor 1 Monat •via X (Twitter)
12 Kommentare

MJ ™vor 1 Monat
Ni kingereza au anasoma

Mr. Unoka1975🇳🇬.vor 1 Monat
Mbona anasoma

LATUS✌️vor 1 Monat
Kila ki2 kashaandikiwa na kujipanga muda so ni jambo la kawaida sana . Em tubadilishe mentality tuanze kufikiria vi2 vingine sasa kingereza cha makam nayo inakua topic aisee

Democracyvor 1 Monat
Kwahiyo kusoma ndo cha ajabu?

Bricevor 1 Monat
Sasa kusoma ndio ajabu au ndio sifa?

sheets_to_go Printingvor 1 Monat
Anasoma hadithi za alfa

❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️vor 1 Monat
Ndio

ANKO66™vor 1 Monat
Sasa si anasoma

Comrade93.vor 1 Monat
Kimenyooka halafu kile cha British kabisa

Diwani Kasogavor 1 Monat
hapo wajumbe wanajisemea moyoni kwamba (anachekesha kama sio msaidizi wa rais wako)

salym ABDvor 1 Monat
Watu ni wajinga sana

Towntripvor 1 Monat
Mnaonesha utumwa wenu katika taifa
