Loading video...
Video Failed to Load
Unabii mzito kwa taifa
32,441 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Haki uhuru1 year ago
kiukweli watu wamechoka aijalishi km upo ccm au cdm hali ya maisha ni mbaya sana

Solar Heavy1 year ago
space meets sound

Peter Eram1 year ago
Na kibaya zaidi ashajipitisha kuwa mgombea, probably, watapasuana wao kwa wao kutaka kumng'oa na hawatoweza. Mwisho wa siku Hao hao wataanza kupigia debe ukombozi wa nchi.

Uncle JJ1 year ago
Aiseee mambo si ndo haya hii milio unadhani inatoka burebure!!??

Modestus Lwemigira1 year ago
Lisu sio mchezo subili mtaona wenyewe. Lisasi 16 alafu yuko hai ata watu hawajiulizi

Teflon Don1 year ago
WOTE TUSEME TAWILE😁

Prof Et Al1 year ago
Washaanza huko si umemsikia yule shekhe ubwabwa

makula sang'udi1 year ago
#NoReformsNoElection

DIGÅLÅ1 year ago
@grok sema TAWIRE 💔😀

Godfrey Nussu1 year ago
Mwambie nabii anunue T shirt nzuri maana mpka vest ya ndani unaonekana nje

The Jewel girl1 year ago
Hawataamini 🔥

