Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Unakuta mimi....

65,577 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Mtaweza kitu, Muwe mnaongea kwa Masihara, kumbe, Ni Mungu anakutumia malaika wake, Angalia walivyokuwa, wanamshahuri Dida amrudie Mungu..... Video kwa Comments👇

Фото профиля Golden
Golden1 год назад

Aisee pokea kila neno lenye kheri pasipo kumtizama anayelileta anafananaje...it seems like waliona what's coming to our beloved sister.

Фото профиля Praygod Swai
Praygod Swai1 год назад

Mungu humtumia mtu yeyote kufikisha ujumbe

Фото профиля Mahingila Sambichuma
Mahingila Sambichuma1 год назад

Hii ni Interijensia ya hali ya juu sana. Kwenye suala la ulinzi wa nchi/kiroho usipuuzie ujumbe toka kwa yeyote. Upokee utafakari,uchungeze kwa kina then chukua maamuzi makini hakika utakuwa salama.

Фото профиля THE PRESIDENT OF MBEYA REPUBLIC🥑🍌🥭🍍🥜🍉
THE PRESIDENT OF MBEYA REPUBLIC🥑🍌🥭🍍🥜🍉1 год назад

Machoko ndio malaika.... au ndio malaika wa heri utembelea MOTONI😅

Фото профиля Chuma7
Chuma71 год назад

Kwani Hawa ni kina nanii?! Mbona walifanya kazi kubwa hivyoo? Mungu azidi kuwabariki kwakweli. AMEN

Фото профиля Umkhonto Wesizwe
Umkhonto Wesizwe1 год назад

Maskini ona amekataa kumjua Mungu. Kwetu sisi wakirsto tuna Imani kwamba Mungu anao uwezo wa kutumia hata mwenda wazimu kupitisha neno lake. Angechukua tu hata sekunde Moja na kumkubali yesu Kristo angeupata uzima wa milele. Mungu msamehe makosaya yake na uiweke roho yake pema.

Фото профиля Ummy Hasheem
Ummy Hasheem1 год назад

Kwnn wasingemuhusia kwenye uislam wakalazimisha ukiristo tu kwnn asingetoa mfano wa snura yy ameshikilia uwoya

Фото профиля Josephat tanganyika
Josephat tanganyika1 год назад

Kila kitu kinamaana ni vile tu huwa hatuyatafakari

Фото профиля THE LAST BORN
THE LAST BORN1 год назад

Ukiangalia unataman kucheka kufurahi lkn ukishakumbuka kuwa miongoni mwao mmoja hatupo nae unatamn kutoa chozi kuna haja ss tulobaki tumrudie mungu kifo fumbo kubwa sana u knever know leo au kesho ndo mwsho wako na huijui toba R.I.P dida

Фото профиля Feb
Feb1 год назад

Hawa watu kupona ni ngumu sanaa

Похожие видео