Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ungekuwa weww ungafanyaje 😀👇
24,258 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Kamba Korch Boy🦐1 yıl önce
Hii inaitwa ukicheka na mbwa...shetani sio lazima awe mtu mzima au anaye jielewa hata Hawa tunao sema ni malaika nao Wana ushetani ndani Yao...hapo bunafsi Mimi naacha ibada nadili na huyo shetani mtoto

OddiE1 yıl önce
Matokeo ya malezi kama akiendelea hivyo bado ataendelea kuwa wa hovyo zaid

R.Mchilo1 yıl önce
namzibua banzi la mama wakambo

Antomerit Tz 🇹🇿.1 yıl önce
Kauli ya kusema watoto ni Malaika itaisha lini?😂

KRONOS1 yıl önce
@jmuna_denis 😀😀 si mchezo

Bonusbet Tanzania1 yıl önce
Sema dogo atakuwa hakubaliana na hiyo din

Classic Cars1 yıl önce
vichapo

Hartz MD1 yıl önce
Huyo anayerekodi ndio Mpumbavu

Modestus Beno1 yıl önce
Bora sikuwa mimi, ningebomboka

akilikajoro🇹🇿1 yıl önce
😂😂😂Nakapiga
