Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Usicheke mdogoangu 😂😂 Yuppy
88,765 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 34

@Yuppy_tz Mwaisa sie tunakula ganja tu mwanangu

@Yuppy_tz Mimi nilisha tapeliwa simu kummmak sisahau mpaka leo na nikawafuata wakanipa ngumi buguruni kwa mnyamani pembeni na bakheresa... wallah nikipata bunduki nawapiga risas za vichwa maana mpak leo nawaona😂😂😂

@Yuppy_tz Mwaisa wa form 6 saiv anakariri mchoro wa mende aliyepasuliwa😂

@Yuppy_tz Et mnachora panzi mpaka 4m6

@Yuppy_tz 😂😂😂 karibu tz Airpods 3 🛒 Available ✅ Bei 35,000 Aripods 2nd generation Bei 60,000💵 ☎️0763162945 📍tupo kariako mtaa wa agrey

@Yuppy_tz Daah😂😂

@Yuppy_tz kuna muhuni alifunua kabisa

@Yuppy_tz Hiyo iliondokaga na Nokia yangu 2013 nilishindwa mpaka kula chakula ila huo huwa ni utapeli sana kinafunguliwa pande zote hicho

@Yuppy_tz

@Yuppy_tz 😂😂

@Yuppy_tz Kama kubuni umeme ni rahisi hivi kwanini nchi yetu tuna shida ya umeme

@Yuppy_tz Qmkmk mwaisa 🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kifala sanaaa

@Yuppy_tz 😂 😂

@Yuppy_tz 🤣🤣🤣🤣

@Yuppy_tz 😂🤣🌍

@Yuppy_tz 😂😂😂😂dah

@Yuppy_tz Ahahah

@Yuppy_tz 😅 😅 😅

@Yuppy_tz 😂😂🤣

@Yuppy_tz mambo mazuri yako BE FROM BETATQ

@Yuppy_tz Ofcoz 😁😁

@Yuppy_tz Mnachora panzi 🤣🤣🤣

@Yuppy_tz 😄 🤣

@Yuppy_tz Hivi hawa jamaa kwa nini serikali uwa inawapa vibali? Na uwa wanafanyaje kuhusu hizo kete maana unaweza kuiona kweli lakini kuchagua siyo? Niliwahi kulizwa kitambo hicho asee..

@Yuppy_tz 😂😂😂😂

@Yuppy_tz Maafisa ubashiri 😂😂😂

@Yuppy_tz dadekiii 😁

@Yuppy_tz HahahhahaahahhA @franknidas_cpa

@Yuppy_tz 😂😂😂😂😂😂

@Yuppy_tz 😁😁

@Yuppy_tz 😄😄😄😄 Ma-afsa Ubashiri wapo wa kutosha!

@Yuppy_tz Asia ndy unyama bongo ni bet pawa

@Yuppy_tz Afisa makisio na ubashiri shwa shwa 😂😂😂

@Yuppy_tz huo mchezo niliyatimba siku moja🤣🤣🤣🤣 kama buku 15 hiz zilikwenda!!
