Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

30,875 просмотров • 3 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 20

Фото профиля My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱
My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱3 месяцев назад

Ni hapa hapa wewe mwenyewe uta post ajali iliyouwa watu wengi kutokana na hayo mashindano. Hayo mabus ni pending vifo. Vinasubiri tu kutokea. 🙇🤷🏾‍♀️

Фото профиля jason_boby
jason_boby3 месяцев назад

Unataka waendeshe mwendo wa harusi?

Фото профиля Eng Abbas juma
Eng Abbas juma3 месяцев назад

Hivi vidubwana usiku vina kimbizwa sana jana nilikua natoka dar nakuja kigoma yani nilikua naangalia mshale unachezea kwenye mia muda wote hata usingizi sikupata

Фото профиля BekaBOY 0.2
BekaBOY 0.23 месяцев назад

Hili taifa mtaangamia sana 😂😂🚮

Фото профиля The Kyejo
The Kyejo3 месяцев назад

Ajali ikitokea lawama Kwa barabara

Фото профиля japhet mmbaga
japhet mmbaga3 месяцев назад

Kukikucha hesabu ya vifo na Majeruhi, kwa Kisingizio cha miundo mbinu mibovu.

Фото профиля Papy kimoto
Papy kimoto3 месяцев назад

Hapo wakila mbaga utakuja kuwalaumu LATRA 😄

Фото профиля Saumu Yanga
Saumu Yanga3 месяцев назад

Mkibutuana lawama kwa government 😄😄😁

Фото профиля Han_Li
Han_Li3 месяцев назад

Afu hata haipo ivo. Kuna mtu una bifu nae wewe

Фото профиля e_zzy
e_zzy3 месяцев назад

Kwani mtu asi over take au, mbona amna jambo la maana apo ata alierecord ka overtake

Фото профиля Dizzo👑
Dizzo👑3 месяцев назад

Cheza na kifo

Фото профиля Gabbar singh
Gabbar singh3 месяцев назад

huyo mbn katoa site wakati kuna gari iko mbele yake?

Фото профиля Mponjoli Gwamaka
Mponjoli Gwamaka3 месяцев назад

Mstari unaruhusu kumwaga moto af mwendo hapo mbona ni 80kph

Фото профиля Ibrah Mkindi
Ibrah Mkindi3 месяцев назад

Kuna kampuni mnazitafta mkuu zifungiwe imekaa kama #

Фото профиля Icard
Icard3 месяцев назад

Mm huwa hizi battle ndo huwa napenda road 🔥🔥

Фото профиля The OnlyOne
The OnlyOne3 месяцев назад

Ila HIZI ISSUE ZA MADEREVA KWA SASA NI TOO MUCH...LAZIMA MAMLAKA ZIAMKE NA ZIANZE UDHIBITI

Фото профиля Sam Mkali
Sam Mkali3 месяцев назад

Na ndo maana ajali za kizembe ni nyingi sahiv Kumamae watatumaliza Hawa wasenge

Фото профиля buheri thomas
buheri thomas3 месяцев назад

Yani overtake ya kawaida inakuwaje mashindano? Mchana hakuna magari kuyapita mengine? Tena mwenzake kawasha taa ya kuruhusu vizuri tu.

Фото профиля Ong'wa Faza
Ong'wa Faza3 месяцев назад

Sijui umepost kwa kutaka sifa ila hii video wenye kiherehere wataifikisha mbali na midomo mingi utakua umefanya usenge mkubwa tu.

Фото профиля RANGO TZ
RANGO TZ3 месяцев назад

Oy usiku nikuushika Moyo mzee

Похожие видео