Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Utabiri huu umeshatimia๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

177,976 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Medrick mapembe
Medrick mapembevor 1 Jahr

Hii nyimbo imenigusa

Profilbild von Nuru๐ŸŒน๐ŸŒน
Nuru๐ŸŒน๐ŸŒนvor 1 Jahr

Tumuombe Mungu atuepushe na vilio vya damu nyingi isiyo na hatia inayomwagwa kila siku, Hukumu yake inaweza kututesa wote hata tusiohusika๐Ÿ˜ญ

Profilbild von Must-y
Must-yvor 1 Jahr

Plz naomba title ya ngoma hiyo

Profilbild von Nuru๐ŸŒน๐ŸŒน
Nuru๐ŸŒน๐ŸŒนvor 1 Jahr

Anaitwa mchungaji abiud misholi, jina la wimbo sijui

Profilbild von SaigonVE
SaigonVEvor 1 Jahr

Muimbaji ni Mch. Abiudi Misholi Jina la Wimbo: Uchaguzi Miongoni mwa Wachungaji Ambao nadiriki kusema Ni mchungaji wa kweli Ni huyu, Anazo nyimbo nyingi kuhusu Maisha halisi ya Jamii.

Profilbild von Sekenke One ๐ŸŒป
Sekenke One ๐ŸŒปvor 1 Jahr

Huu wimbo huwa unaitwaje

Profilbild von Nyamandenge Magufuli
Nyamandenge Magufulivor 1 Jahr

unaijua milio ya bunduki wapige mtaani siku tatu consecutive hata hapa hautaweza kutweet kabisa.

Profilbild von Basley
Basleyvor 1 Jahr

Huyu bidada alitisha sana sauti yake inasikika vzuri mnoo

Profilbild von Kilepi Captain Jr
Kilepi Captain Jrvor 1 Jahr

Oya hizo suti ๐Ÿ™Œ๐Ÿป

Profilbild von Emmanuel Domician
Emmanuel Domicianvor 1 Jahr

Kwel nyimbo inaeleza kity kijacho badae

Profilbild von Nuru๐ŸŒน๐ŸŒน
Nuru๐ŸŒน๐ŸŒนvor 1 Jahr

Kabisa

ร„hnliche Videos