Loading video...
Video Failed to Load
Utabiri huu umeshatimia๐ญ๐ญ๐ญ
177,976 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

Medrick mapembe1 year ago
Hii nyimbo imenigusa

Nuru๐น๐น1 year ago
Tumuombe Mungu atuepushe na vilio vya damu nyingi isiyo na hatia inayomwagwa kila siku, Hukumu yake inaweza kututesa wote hata tusiohusika๐ญ

Must-y1 year ago
Plz naomba title ya ngoma hiyo

Nuru๐น๐น1 year ago
Anaitwa mchungaji abiud misholi, jina la wimbo sijui

SaigonVE1 year ago
Muimbaji ni Mch. Abiudi Misholi Jina la Wimbo: Uchaguzi Miongoni mwa Wachungaji Ambao nadiriki kusema Ni mchungaji wa kweli Ni huyu, Anazo nyimbo nyingi kuhusu Maisha halisi ya Jamii.

Sekenke One ๐ป1 year ago
Huu wimbo huwa unaitwaje

Nyamandenge Magufuli1 year ago
unaijua milio ya bunduki wapige mtaani siku tatu consecutive hata hapa hautaweza kutweet kabisa.

Basley1 year ago
Huyu bidada alitisha sana sauti yake inasikika vzuri mnoo

Kilepi Captain Jr1 year ago
Oya hizo suti ๐๐ป

Emmanuel Domician1 year ago
Kwel nyimbo inaeleza kity kijacho badae

Nuru๐น๐น1 year ago
Kabisa
