Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Utabiri huu umeshatimia😭😭😭
177,976 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Medrick mapembe1 год назад
Hii nyimbo imenigusa

Nuru🌹🌹1 год назад
Tumuombe Mungu atuepushe na vilio vya damu nyingi isiyo na hatia inayomwagwa kila siku, Hukumu yake inaweza kututesa wote hata tusiohusika😭

Must-y1 год назад
Plz naomba title ya ngoma hiyo

Nuru🌹🌹1 год назад
Anaitwa mchungaji abiud misholi, jina la wimbo sijui

SaigonVE1 год назад
Muimbaji ni Mch. Abiudi Misholi Jina la Wimbo: Uchaguzi Miongoni mwa Wachungaji Ambao nadiriki kusema Ni mchungaji wa kweli Ni huyu, Anazo nyimbo nyingi kuhusu Maisha halisi ya Jamii.

Sekenke One 🌻1 год назад
Huu wimbo huwa unaitwaje

Nyamandenge Magufuli1 год назад
unaijua milio ya bunduki wapige mtaani siku tatu consecutive hata hapa hautaweza kutweet kabisa.

Basley1 год назад
Huyu bidada alitisha sana sauti yake inasikika vzuri mnoo

Kilepi Captain Jr1 год назад
Oya hizo suti 🙌🏻

Emmanuel Domician1 год назад
Kwel nyimbo inaeleza kity kijacho badae

Nuru🌹🌹1 год назад
Kabisa
